Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 5,937
- 10,815
In Polepoleās voice anasema wahuni sio watušš¤£ halafu anawataja Rostam Aziz, Kikwete, Karamagi, na wengine wengi.
In Polepoleās voice anadai Kuna Mzee wa tax hapo posta Muda mwingi yeye anabeba bahasha za sanduku la posta ila siku hiyo alipewa bahasha ikiwa na Kodi za kumuua Magufuli kwa kuwa dreva tax Hana uwezo wa kuingia IKULU kumweleza Rais ikabidi amweleze Polepole, fresh TU Polepole akamfikishia taarifa Magu bwanae utakuwašš¤£ MWAMba AKAJIBU stoishi MILELE, ila baadae MWAMba aliingiwa na woga
Akampigia Polepole bwanae ehehehe naomba ile taarifa wape vijana wangu wa TISS pasipokujua kuwa huenda hata TISS walikuwa kwenye genge ilo.
Polepole fresh akawaeleza weeeeeee! Wakashutuka mchongo umeshutukiwa wakati huo Mimi @SifiLeo nipo nje ya jengo la IKULU nabrashi viatu vya wateja.
Nisiende mbali alikuwa Sokoine, akauawa Magufuli akaenda, Mwigulu hata kama umechunga ngāombe na kuikwepa Simba ila kuwa MAKINI wahuni wakikutaka wanakushenyentaaaaaaasa!