Mwigulu Chemba soma hapa baba!

Mwigulu Chemba soma hapa baba!

Logo

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2011
Posts
588
Reaction score
48
Imeniuma sana baada ya kupata maelezo ya mateso ya kijana kutoka Bukoba, nikajiaminisha kuwa Mwigulu Nchemba niye mhusika mkuu wa hili suala pale alipotamka anayo video ya viongozi wa CHADEMA wakipanga mauaji.

Mwigulu asikudanganye mtu, usiombe upate kisasi cha Mungu kwa haya unayoyafanya itakugharimu sana, wewe pia uliumbwa kwa pumzi ile ile ambayo hao uliowasababishia kesi wanateseka mahakamani.

Imeniuma sana, nadhani wewe unafurahia haya yanayotokea ila sikudanganyi UNAYOYAPANDA UTAYAVUNA HAPAHAPA DUNIANI.

Sasa ngoja tujipange turatibu kongamano la maombi ya kufunga na kuomba kitaifa ya siku 7 ya kumuomba Mungu akatilie mbali dhuluma na mateso ya waja wake, ikiwa ni pamoja na kuwaadhibu vikali wale wawatesao wana wa Mungu! Usidhani tutatangaza kama maandamano sisi ni kimya kimya yakianza kukupata mshukuru Mungu kwa kukujibu!

Nimelia machozi yangu leo, si bure. Hata kama unahitaji madaraka si bure wache watu waishi kwa amani!

http://poll.pollcode.com/sdqdu
tunaanza kwa maombi ya online fungua hii link kisha upige kura yako haya ni maombi maanisha.

Kwa imani ya dini yangu, nimefundishwa kwamba sitakiwi kulipa kisasi! Si vizuri kufunga ili umuombe Mungu amwadhibu binadamu mwingine. Hakuna mkamilifu chini ya jua, hivyo ni vizuri tukaombeana mema.

Tunatakiwa kufunga na kusali Mungu awape huruma wale walio kwenye mateso! Awape ujasiri na uwezo wa kupambana na magumu yanayowasibu.
Pia, tumuombe Mungu abadili moyo wa Bwana Mkubwa uliyemtaja kuhusika na mateso ya hao vijana. Awe na moyo wa ubinadamu na huruma. Chuki, kisasi na tamaa ya madaraka viondoke katika moyo wake.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Tofautisha kulipiza kisasi na kuomba Mungu asimame kidete kuwatetea na nguvu za maadui na kuwaangamiza watesi.
 
Kwa imani ya dini yangu, nimefundishwa kwamba sitakiwi kulipa kisasi! Si vizuri kufunga ili umuombe Mungu amwadhibu binadamu mwingine. Hakuna mkamilifu chini ya jua, hivyo ni vizuri tukaombeana mema.

Tunatakiwa kufunga na kusali Mungu awape huruma wale walio kwenye mateso! Awape ujasiri na uwezo wa kupambana na magumu yanayowasibu.
Pia, tumuombe Mungu abadili moyo wa Bwana Mkubwa uliyemtaja kuhusika na mateso ya hao vijana. Awe na moyo wa ubinadamu na huruma. Chuki, kisasi na tamaa ya madaraka viondoke katika moyo wake.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Ni sahihi kumwomba Mungu apigane na wanao pigana nawe. zaburi 35..
Mungu hupigana na adui wa mtu wanaoonea bila sababu
 
Kwa imani ya dini yangu, nimefundishwa kwamba sitakiwi kulipa kisasi! Si vizuri kufunga ili umuombe Mungu amwadhibu binadamu mwingine. Hakuna mkamilifu chini ya jua, hivyo ni vizuri tukaombeana mema.

Tunatakiwa kufunga na kusali Mungu awape huruma wale walio kwenye mateso! Awape ujasiri na uwezo wa kupambana na magumu yanayowasibu.
Pia, tumuombe Mungu abadili moyo wa Bwana Mkubwa uliyemtaja kuhusika na mateso ya hao vijana. Awe na moyo wa ubinadamu na huruma. Chuki, kisasi na tamaa ya madaraka viondoke katika moyo wake.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Mungu amebariki vita na kisasi cha haki katika Maagano yake. Katika Agano la Kale Mungu aliwalinda na aliwatetea waja wake katika vita ya haki. Katika Agano Jipya Mungu alisamehe kisasi cha haki. Wewe umesoma Biblia gani inayokosa neno "haki" na neno "kiasi" katika mambo afanyayo mwanadamu. Umesoma Biblia gani inayokosa maneno "haki" na "kiasi" katika Maagano yote mawili? Ukristo si dini wa wajinga!
 
watu walitaka kuandamana wakazuiliwa
sasa tegemea zaidi ya hapo
wakitaka kufunga na kuomba polisi wataingilia kati kuwazuia wasifanye hivyo pia, subiri uone kama unabisha.
Ni kweli haya matukio sio mazuri kufanywa na viongozi tena wa kitaifa!
 
Maombi yakufunga na kuomba yataisha hata polisi hawajui kuwa yalikuwepo ahahahah
 
Imeniuma sana baada ya kupata maelezo ya mateso ya kijana kutoka Bukoba, nikajiaminisha kuwa Mwigulu Nchemba niye mhusika mkuu wa hili suala pale alipotamka anayo video ya viongozi wa CHADEMA wakipanga mauaji.

Mwigulu asikudanganye mtu, usiombe upate kisasi cha Mungu kwa haya unayoyafanya itakugharimu sana, wewe pia uliumbwa kwa pumzi ile ile ambayo hao uliowasababishia kesi wanateseka mahakamani.

Imeniuma sana, nadhani wewe unafurahia haya yanayotokea ila sikudanganyi UNAYOYAPANDA UTAYAVUNA HAPAHAPA DUNIANI.

Sasa ngoja tujipange turatibu kongamano la maombi ya kufunga na kuomba kitaifa ya siku 7 ya kumuomba Mungu akatilie mbali dhuluma na mateso ya waja wake, ikiwa ni pamoja na kuwaadhibu vikali wale wawatesao wana wa Mungu! Usidhani tutatangaza kama maandamano sisi ni kimya kimya yakianza kukupata mshukuru Mungu kwa kukujibu!

Nimelia machozi yangu leo, si bure. Hata kama unahitaji madaraka si bure wache watu waishi kwa amani!

Amen Amen Mtumishi tunafunga na hakika tutashinda!
Mungu ni Mwema atamtenda jinsi anavyowatenda wana Wake
 
Nadhani ikiitishwa kura ya maoni kutafuta mtu anayechukiwa zaidi na wana JF huyu "mchumi wa 1st class" ataongoza. Marijan Rajabu aliimba kuwa kila mtenda wema atakumbukwa kwa wema kwani ukatili ni unyama.
 
Haki haki haki...jamani haki ikidhulumiwa taifa litaangamia
 
Imeniuma sana baada ya kupata maelezo ya mateso ya kijana kutoka Bukoba, nikajiaminisha kuwa Mwigulu Nchemba niye mhusika mkuu wa hili suala pale alipotamka anayo video ya viongozi wa CHADEMA wakipanga mauaji.

Mwigulu asikudanganye mtu, usiombe upate kisasi cha Mungu kwa haya unayoyafanya itakugharimu sana, wewe pia uliumbwa kwa pumzi ile ile ambayo hao uliowasababishia kesi wanateseka mahakamani.

Imeniuma sana, nadhani wewe unafurahia haya yanayotokea ila sikudanganyi UNAYOYAPANDA UTAYAVUNA HAPAHAPA DUNIANI.

Sasa ngoja tujipange turatibu kongamano la maombi ya kufunga na kuomba kitaifa ya siku 7 ya kumuomba Mungu akatilie mbali dhuluma na mateso ya waja wake, ikiwa ni pamoja na kuwaadhibu vikali wale wawatesao wana wa Mungu! Usidhani tutatangaza kama maandamano sisi ni kimya kimya yakianza kukupata mshukuru Mungu kwa kukujibu!

Nimelia machozi yangu leo, si bure. Hata kama unahitaji madaraka si bure wache watu waishi kwa amani!

Hivi ndugu yangu, umelogwa na CHADEMA? au ndio ulevi wa kupenda kitu. Yaani huwa mkikaa huwa hamna shughuli za kufanya mnawaza siasa tuuu na uzushi. na kama wewe ni kijana unapoteza muda mwingi sana wa faida ya uzee wako. Siwapendi sana watu wanaopenda kujiridhisha na hisia zao hata kama za uongo na kujitahidi kuwashawishi wengine waamini kuwa za kweli. Poleni vijana wenzangu wa Tanzania mnaofikiri kuwa kuna chama kitakachowakomboa mkaridhika. Nionavyo mimi, watu wengi hasa vijana wanamatumaini ya mkate tu wakifikiri ndio hitaji la maisha lakini kumbe maisha ni zaidi ya mkate. Nawaomba vijana wenzangu kama maisha yako unategemea siasa ikutoe kazania siasa lakini kama unategemea kazi ya mikono yako tufanye kazi tuache siasa na uzushi usiokuwa na manufaa kwetu.
 
Inaonekana maisha bora kwa kila mtanzania yamepita jiirani na wewe, ndo maana huma uchuungu na upotevu na ufujaji wa raslimari za nchi hii!

Nenda kapumzike, vutia gap 2015 hy inakuja!!
 
Kwa imani ya dini yangu, nimefundishwa kwamba sitakiwi kulipa kisasi! Si vizuri kufunga ili umuombe Mungu amwadhibu binadamu mwingine. Hakuna mkamilifu chini ya jua, hivyo ni vizuri tukaombeana mema.

Tunatakiwa kufunga na kusali Mungu awape huruma wale walio kwenye mateso! Awape ujasiri na uwezo wa kupambana na magumu yanayowasibu.
Pia, tumuombe Mungu abadili moyo wa Bwana Mkubwa uliyemtaja kuhusika na mateso ya hao vijana. Awe na moyo wa ubinadamu na huruma. Chuki, kisasi na tamaa ya madaraka viondoke katika moyo wake.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
mimi naomba mwigulu afe kwani matendo yake yanaonesha anataka kuiingiza NCHI kwenye machafuko yasiyo na mwisho. kwahiyo kabla haya hayajatokea ni bora yeye awazaye maovu aondoke.
 
Mkubwa wake anasema kuna misikiti mitatu ilimsomea itkafu ili afe.lakini mpaka leo anapeta tu.na anaamini yuko juu ya sheria hivyo mwenyezi hawezi mgusa.tuzidishe ibada ipo siku matokeo yatatoka tusichoke kwani dalili zimesha jionyesha any time linaweza tokea lolote
 
Kwa imani ya dini yangu, nimefundishwa kwamba sitakiwi kulipa kisasi! Si vizuri kufunga ili umuombe Mungu amwadhibu binadamu mwingine. Hakuna mkamilifu chini ya jua, hivyo ni vizuri tukaombeana mema.

Tunatakiwa kufunga na kusali Mungu awape huruma wale walio kwenye mateso! Awape ujasiri na uwezo wa kupambana na magumu yanayowasibu.
Pia, tumuombe Mungu abadili moyo wa Bwana Mkubwa uliyemtaja kuhusika na mateso ya hao vijana. Awe na moyo wa ubinadamu na huruma. Chuki, kisasi na tamaa ya madaraka viondoke katika moyo wake.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

hapo bold haitoshi anatakiwa na yeye aonje aone utamu na uchungu wa mateso anayowapatia wengine.
 
Mkuu soma Zaburi 109 kwa siku 9

Zaburi 109 ni hatari jamani mtakimaliza kizazi chake kabisa wakati yeye binafsi ndio mwenye matatizo.
Mimi nafikiri anatakiwa aache kuvuta bangi kwanza na amrudie Mungu wake, vinginevyo atakwisha.
 
Back
Top Bottom