Emanuel Makofia
JF-Expert Member
- Jan 5, 2010
- 3,832
- 637
Atakuja hapa kubisha tusubiri
Kwa imani ya dini yangu, nimefundishwa kwamba sitakiwi kulipa kisasi! Si vizuri kufunga ili umuombe Mungu amwadhibu binadamu mwingine. Hakuna mkamilifu chini ya jua, hivyo ni vizuri tukaombeana mema.
Tunatakiwa kufunga na kusali Mungu awape huruma wale walio kwenye mateso! Awape ujasiri na uwezo wa kupambana na magumu yanayowasibu.
Pia, tumuombe Mungu abadili moyo wa Bwana Mkubwa uliyemtaja kuhusika na mateso ya hao vijana. Awe na moyo wa ubinadamu na huruma. Chuki, kisasi na tamaa ya madaraka viondoke katika moyo wake.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Hivi ndugu yangu, umelogwa na CHADEMA? au ndio ulevi wa kupenda kitu. Yaani huwa mkikaa huwa hamna shughuli za kufanya mnawaza siasa tuuu na uzushi. na kama wewe ni kijana unapoteza muda mwingi sana wa faida ya uzee wako. Siwapendi sana watu wanaopenda kujiridhisha na hisia zao hata kama za uongo na kujitahidi kuwashawishi wengine waamini kuwa za kweli. Poleni vijana wenzangu wa Tanzania mnaofikiri kuwa kuna chama kitakachowakomboa mkaridhika. Nionavyo mimi, watu wengi hasa vijana wanamatumaini ya mkate tu wakifikiri ndio hitaji la maisha lakini kumbe maisha ni zaidi ya mkate. Nawaomba vijana wenzangu kama maisha yako unategemea siasa ikutoe kazania siasa lakini kama unategemea kazi ya mikono yako tufanye kazi tuache siasa na uzushi usiokuwa na manufaa kwetu.
Kwa imani ya dini yangu kipimo ambacho mtu hutumia kuwapimia watu duniani naye atapimiwa kwa kipimo hichohicho kwa mungu hivyo nipamoja nawe kakika maombi ya kitaifa ya siku 7
Zaburi 109 ni hatari jamani mtakimaliza kizazi chake kabisa wakati yeye binafsi ndio mwenye matatizo.
Mimi nafikiri anatakiwa aache kuvuta bangi kwanza na amrudie Mungu wake, vinginevyo atakwisha.
Hivi ndugu yangu, umelogwa na CHADEMA? au ndio ulevi wa kupenda kitu. Yaani huwa mkikaa huwa hamna shughuli za kufanya mnawaza siasa tuuu na uzushi. na kama wewe ni kijana unapoteza muda mwingi sana wa faida ya uzee wako. Siwapendi sana watu wanaopenda kujiridhisha na hisia zao hata kama za uongo na kujitahidi kuwashawishi wengine waamini kuwa za kweli. Poleni vijana wenzangu wa Tanzania mnaofikiri kuwa kuna chama kitakachowakomboa mkaridhika. Nionavyo mimi, watu wengi hasa vijana wanamatumaini ya mkate tu wakifikiri ndio hitaji la maisha lakini kumbe maisha ni zaidi ya mkate. Nawaomba vijana wenzangu kama maisha yako unategemea siasa ikutoe kazania siasa lakini kama unategemea kazi ya mikono yako tufanye kazi tuache siasa na uzushi usiokuwa na manufaa kwetu.
Biblia ni zaidi ya Zaburi 109. Soma mafungu mbalimbali au biblia nzima ndipo unaweza kutambua uhalisia wa kila jambo!

Imeniuma sana baada ya kupata maelezo ya mateso ya kijana kutoka Bukoba, nikajiaminisha kuwa Mwigulu Nchemba niye mhusika mkuu wa hili suala pale alipotamka anayo video ya viongozi wa CHADEMA wakipanga mauaji.
Mwigulu asikudanganye mtu, usiombe upate kisasi cha Mungu kwa haya unayoyafanya itakugharimu sana, wewe pia uliumbwa kwa pumzi ile ile ambayo hao uliowasababishia kesi wanateseka mahakamani.
Imeniuma sana, nadhani wewe unafurahia haya yanayotokea ila sikudanganyi UNAYOYAPANDA UTAYAVUNA HAPAHAPA DUNIANI.
Sasa ngoja tujipange turatibu kongamano la maombi ya kufunga na kuomba kitaifa ya siku 7 ya kumuomba Mungu akatilie mbali dhuluma na mateso ya waja wake, ikiwa ni pamoja na kuwaadhibu vikali wale wawatesao wana wa Mungu! Usidhani tutatangaza kama maandamano sisi ni kimya kimya yakianza kukupata mshukuru Mungu kwa kukujibu!
Nimelia machozi yangu leo, si bure. Hata kama unahitaji madaraka si bure wache watu waishi kwa amani!
Please Vote: Kama nawewe unaungana nami kuwa mwanasiasa aliyetengeneza mkanda wa Lwakatare alaaniwe ungana nami:-
tunaanza kwa maombi ya online fungua hii link kisha upige kura yako haya ni maombi maanisha.