Sina hakika sana na hii thread hivyo naogopa ushabiki usio na tija kwa taifa!
Mbona siyo Mwigulu huyo!
Hizo yeboyebo hadi zimetoboka visigino bana!
Mbona siyo Mwigulu huyo!
Hizo yeboyebo hadi zimetoboka visigino bana!
Hii haitishi. Saa ikifika kila kiumbe kitatangaza ujumbe wa ukombozi na mabadiliko. Hata mbwa wanateswa na madhila yanayotokana na udhaifu wa hawa jamaa. By the way hii inazidi kututhibitishia jinsi magamba walivyo na akili ndogo.
wadau hii imekaaje? je ni sawa ?
![]()
![]()
[video=youtube_share;Pm900e4TFcc]http://youtu.be/Pm900e4TFcc[/video]
View attachment 62326View attachment 62327View attachment 62328View attachment 62329View attachment 62330