Ndyali
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 1,678
- 971
mada hapa ni bendera ya chadema imevaliwa na dog suala la wingi wa watu lianzishie mada yake.
Kichaa umekabidhiwa rungu twafa!!!!!!
mada hapa ni bendera ya chadema imevaliwa na dog suala la wingi wa watu lianzishie mada yake.
Mwenyekiti wa CHADEMA ndiye aliyesababisha mbwa avalishwe bendera.
Watake radhi watoto manake wao akili zao ni nzuri sana kuliko za huyu mtu mzima hovyo..............huu ni zaidi ya ulimbukeni na ujinga!...........yaani ameshindwa kabisa kuficha upumbavuwake akaficha busara khaaa!HUU NI utoto
kivipi mkuu?funguka!
Mwenyekiti wa CHADEMA ndiye aliyesababisha mbwa avalishwe bendera.
Usiende haraka mkuu,,mpaka hapa hakuna proof kwamba aliyefanya hivo ni Mwigulu,,picha hazimwonyeshi yeye ambao ndo ulikuwa ushahidi saaaaafi. Usiwe provoked upesi, na mpiga picha alitakiwa kumlenga yeye mvalishaji na mbwa wake sasa kapiga mbwa pekee then anatuambia ni Mwigulu
Kutengeneza? yule mbwa mbona alipigwa mashine live.
Weka picha.
Mwenyekiti wa CHADEMA ndiye aliyesababisha mbwa avalishwe bendera.
Tendo huwa linareflect akili za mtu! Angekuwa kafanya kitendo hicho mtu mwenye akili timamu mfano kama Filikunjombe ningeshangaa sana ila akifanya mwigul au lusind wala usipoteze muda kuwafikiria wakati inafahamika wazi utimamu wao unategemea na uelekeo wa mwezi, sasa hivi mwezi uko mashariki na karibia utakuwa mwezi muandama!
Ashitakiwe baada ya kuthibitisha ni kweli, huyu jamaa hajui siasa kabisa na anaendekeza siasa za chuki.