Mwigulu amchana chana Lissu Hadharani

Mwigulu amchana chana Lissu Hadharani

Serikali imetakiwa kutoa maelezo bungeni, kuhusu sababu za kuuawa kwa waasisi sita wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar wanaodaiwa kuzikwa katika handaki moja Zanzibar.

Akiwasilisha maoni ya Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano), msemaji wake, Tundu Lissu aliitaka Serikali kueleza waasisi hao walifanya makosa gani.

Aliwataja waasisi hao kuwa ni Abdallah Kassim Hanga aliyekuwa Waziri Mkuu, Abdulaziz Twala aliyekuwa Waziri wa Fedha na Saleh Akida aliyekuwa Mjumbe wa Baraza la Mapinduzi na viongozi waandamizi wa Serikali ya Mapinduzi, Othman Shariff, Mdungi Ussi na Jaha Ubwa ambao alisema waliuawa na kuzikwa handaki moja eneo la Kama, Zanzibar.

Lissu alisema hayo huku akinukuu kitabu cha ‘Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru’ kilichoandikwa na Harith Ghassany alichosema kilionyesha jinsi viongozi hao walivyouawa na kuzikwa katika kaburi moja.

“Sisi wa kizazi cha Muungano tunataka kujua ukweli juu ya makosa waliyoyafanya hawa waasisi wa Muungano hadi wakauawa na kuzikwa katika kaburi au handaki moja,” alisema Lissu huku wabunge wakiwa kimya kumsikiliza.
 
Lissu huwa ana hoja fulani na ni mchambuzi LAKINI ukigeugeu wake wa mara TZ Zanzibar ndio WANAINYONYA Tz Bara na sasa kinyume chake na pia kuchukua muda mrefu kuongelea mapambo ya Muungano barabarani na zaidi ya yote kutokuwa na kiasi katika kujikita kwenye mada moja inayohusika (hakukuwa na haja ya kuanza kuhoji hukumu za waasisi wa Muungano katika muktadha wa mawasilisho ya bajeti) ndivyo vimemshusha sana katika kile alichokiwasilisha jana.
 
Nimekuja mbio kwenye hu uzi nikijua nitakutana na majibu ya maswali ambayo Lissu kayauliza kuhusu muungano, kumbe vijembe tu!? Wenye akili sasa tumeleewa kua hu muungano ni wa magumashi, kama sio basi leteni majibu ya maswali ya Tundu Antipas Lissu!
 
unajaribu kujitoa fahamu bila sababu za msingi acha kuishi kwa feelings utapata shida Mkuu. ishi kwa reasons
 
Mwigulu kamchana chana Lissu kwa data zipi???? Ajibu hoja moja baada ya nyingine kama zilivyotolewa na Mh Lissu.
 
Kuna watu kwenye jamvi hili wanatumia makalio kutafakali mambo, ni aibu kulinganisha matapishi ya Mwigulu Nchemba na hoja za msingi za Tundu Lisu. Kusema ukweli kumjadili Tundu Lisu kwenye jukwaa moja na Nchemba Mwigulu ni kunajisi taaluma na weledi wa Tundu Lisu
 
Nimekuja mbio kwenye hu uzi nikijua nitakutana na majibu ya maswali ambayo Lissu kayauliza kuhusu muungano, kumbe vijembe tu!? Wenye akili sasa tumeleewa kua hu muungano ni wa magumashi, kama sio basi leteni majibu ya maswali ya Tundu Antipas Lissu!
Lissu kawakilisha taarifa ya kambi ya upinzani na sio taarifa yake. Wanamshambulia yeye binafsi lakini moyoni wanakubaliana na taarifa hiyo kwani katayarisha kwa msaada toka serikalini.
 
Sasa Mwigulu anachangia bajeti ya Makamu wa Rais Muungano. Anasema kuwa anachofanya Lissu ni jitihada zake za kuwafitinisha Wazanzibari baada ya kushindwa kuwachonganisha Watanzania Bara. Anasema kuwa wakati mwingina anaona aibu kujitambulisha kuwa anatoka Singida kutokana na matendo ya Tundu Lissu. Anasema kuwa Lissu ameongea mambo mengi ambayo hana takwimu wala hakika yake. Anawashangaa Wazanzibari kwa kufurahia hotuba ya Lissu huku wanajua kuwa anafanya jitihada za kuwagombanisha. Anasema kuwa mambo yakiharibika watakaoumia ni Wazanzibari huku Lissu akifurahia kwake Singida.

Natamani kusikia akijibu maswali ya Lissu, sio kusema tu anamuumbua. Wale waasisi sita waliuawa na kuzikwa kwenye handaki moja walikosa nini? kama walikosa na mahakama gani iliwahukumu? Ajibu hilo. Pili ajibu Zanzibar ni nchi ama si nchi? Kama ni nchi mipaka yake ni ipi?Ajibu hilo, Je Jamhuri ya Muungano mipaka yake ni ipi?

Hayo ndiyo mambo ya kujibu sio bla bla
 
Tatizo la hii post ni kuwa imekaa kiitikadi na mlengo fulani zaidi. Mleta thread ulitakiwa kuwa neutral ili kuacha room kwa wachangiaji. Kusema LISSU anachanwachanwa na MWIGULU ni kuwa biased katika uandishi. Sie wengine hatujapata access ya hiyo michango yao, je, nasi tuwe katika upande upi? Tupia maelezo ya wote na acha wanajamvi tuketi kitako kujadili
 
Kuna watu kwenye jamvi hili wanatumia makalio kutafakali mambo, ni aibu kulinganisha matapishi ya Mwigulu Nchemba na hoja za msingi za Tundu Lisu. Kusema ukweli kumjadili Tundu Lisu kwenye jukwaa moja na Nchemba Mwigulu ni kunajisi taaluma na weledi wa Tundu Lisu
Kweli mkuu, sijui hapo tutatoka lini!!!!!!!![TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="bgcolor: #54D427, colspan: 3"]Countries With The Highest Average IQ[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 7%, bgcolor: #54D427"]Rank[/TD]
[TD="width: 70%, bgcolor: #54D427"]Country[/TD]
[TD="width: 23%, bgcolor: #54D427"]Average IQ[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1[/TD]
[TD]Hong Kong[/TD]
[TD]107[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2[/TD]
[TD]South Korea[/TD]
[TD]106[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3[/TD]
[TD]Japan[/TD]
[TD]105[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4[/TD]
[TD]Taiwan[/TD]
[TD]104[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5[/TD]
[TD]Singapore[/TD]
[TD]103[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]6[/TD]
[TD]Austria[/TD]
[TD]102[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]6[/TD]
[TD]Germany[/TD]
[TD]102[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]6[/TD]
[TD]Italy[/TD]
[TD]102[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]6[/TD]
[TD]Netherlands[/TD]
[TD]102[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]10[/TD]
[TD]Sweden[/TD]
[TD]101[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]10[/TD]
[TD]Switzerland[/TD]
[TD]101[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]12[/TD]
[TD]Belgium[/TD]
[TD]100[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]12[/TD]
[TD]China[/TD]
[TD]100[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]12[/TD]
[TD]New Zealand[/TD]
[TD]100[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]12[/TD]
[TD]United Kingdom[/TD]
[TD]100[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]16[/TD]
[TD]Hungary[/TD]
[TD]99[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]16[/TD]
[TD]Poland[/TD]
[TD]99[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]16[/TD]
[TD]Spain[/TD]
[TD]99[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]19[/TD]
[TD]Australia[/TD]
[TD]98[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]19[/TD]
[TD]Denmark[/TD]
[TD]98[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]19[/TD]
[TD]France[/TD]
[TD]98[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]19[/TD]
[TD]Mongolia[/TD]
[TD]98[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]19[/TD]
[TD]Norway[/TD]
[TD]98[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]19[/TD]
[TD]United States[/TD]
[TD]98[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]25[/TD]
[TD]Canada[/TD]
[TD]97[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]25[/TD]
[TD]Czech Republic[/TD]
[TD]97[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]25[/TD]
[TD]Finland[/TD]
[TD]97[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #54D427, colspan: 3"]Countries With The Lowest Average IQ[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1[/TD]
[TD]Equatorial Guinea[/TD]
[TD]59[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2[/TD]
[TD]Ethiopia[/TD]
[TD]63[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3[/TD]
[TD]Sierra Leone[/TD]
[TD]64[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4[/TD]
[TD]Democratic Republic of the Congo[/TD]
[TD]65[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5[/TD]
[TD]Zimbabwe[/TD]
[TD]66[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5[/TD]
[TD]Guinea[/TD]
[TD]66[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7[/TD]
[TD]Nigeria[/TD]
[TD]67[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]8[/TD]
[TD]Ghana[/TD]
[TD]71[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]9[/TD]
[TD]Tanzania[/TD]
[TD]72[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]9[/TD]
[TD]Sudan[/TD]
[TD]72[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Mkuu ukichukua uongozi wa juu wa CCM na serikali yake hiyo table itaonyesha mambo ya aibu.... nadhani IQ za viongozi wetu ziko chini ya average (labda kwenye 25 hivi). Maana hoja wanazojenga zinatia kichefuchefu
 
Sasa Mwigulu anachangia bajeti ya Makamu wa Rais Muungano. Anasema kuwa anachofanya Lissu ni jitihada zake za kuwafitinisha Wazanzibari baada ya kushindwa kuwachonganisha Watanzania Bara. Anasema kuwa wakati mwingina anaona aibu kujitambulisha kuwa anatoka Singida kutokana na matendo ya Tundu Lissu. Anasema kuwa Lissu ameongea mambo mengi ambayo hana takwimu wala hakika yake. Anawashangaa Wazanzibari kwa kufurahia hotuba ya Lissu huku wanajua kuwa anafanya jitihada za kuwagombanisha. Anasema kuwa mambo yakiharibika watakaoumia ni Wazanzibari huku Lissu akifurahia kwake Singida.
Sasa hapo kamchana wapi na wewe kichwa kikubwa akili kisoda.
 
Sasa Mwigulu anachangia bajeti ya Makamu wa Rais Muungano. Anasema kuwa anachofanya Lissu ni jitihada zake za kuwafitinisha Wazanzibari baada ya kushindwa kuwachonganisha Watanzania Bara. Anasema kuwa wakati mwingina anaona aibu kujitambulisha kuwa anatoka Singida kutokana na matendo ya Tundu Lissu. Anasema kuwa Lissu ameongea mambo mengi ambayo hana takwimu wala hakika yake. Anawashangaa Wazanzibari kwa kufurahia hotuba ya Lissu huku wanajua kuwa anafanya jitihada za kuwagombanisha. Anasema kuwa mambo yakiharibika watakaoumia ni Wazanzibari huku Lissu akifurahia kwake Singida.
Mwigulu ana level gani ya elimu?
 
Mkuu ukichukua uongozi wa juu wa CCM na serikali yake hiyo table itaonyesha mambo ya aibu.... nadhani IQ za viongozi wetu ziko chini ya average (labda kwenye 25 hivi). Maana hoja wanazojenga zinatia kichefuchefu
Mkuu, hata sie wananchi tuko hivo hivo. Angalia ziara za Kinana na Nape nchini, wakati Kinana kajikita kuongelea kwa kuiponda katiba mpya na kusema sio muarobaini wa matatizo ya wananchi, Nape hapo hapo jukwaani anaponda kuzungumzia katiba mpya eti ni ya 'wanasiasa' halafu wananchi hatuwaulizi wao kazi yao ni nini?
Wanatuambia (Kinana na Nape) kuwa wanaotaka serikali tatu wanauroho wa madaraka, hatuwaulizi wao humo CCM wamo kama akina nani na pendekezo la muundo huo ni wetu wananchi sio viongozi wa vyama!!!!!!! Tatizo ni SISI.
 
Back
Top Bottom