Mwigizaji wa Ghana aliyepiga picha za utupu na mtoto wake, aomba radhi

Ila mtoto kavaa nguo
Screenshot_2020-07-02-13-56-17-1.jpg
 
Nadhani inawezekana wana dizain fulani ya maisha ambayo sio sawa kimaadili ya kwetu

Ukiangalia ile post anayoomba msamaha anasema it was an artistic impression na huwa anaoga naye kila wakati so nadhani tunashangaa kwa mazingira yetu sababu ni vitu vigeni mno

Usikute huwa anamuonjesha dogo kibingwa
Kwa hiyo mwanae anaona qumer yake kila wakati aisee!
 
Mwigizaji wa Ghana wa Rosemond Brown maarufu kama Akuapem Poloo ameomba radhi baada ya kupost picha ya utupu (kama alivyozaliwa) akiwa na mtoto wake wa miaka saba.

Akuapem Poloo alipost picha hiyo kwenye ukurasa wake wa instagram Jumatatu, Juni 30, 2020 kusherehekea siku ya kuzaliwa ya mtoto wake aliyetimiza miaka saba.

Watu mbalimbali, vyombo vya habari, walimtuhumu mwigizaji huyo pamoja na mashirika kadhaa ya asasi za kiraia, na Shirika la Haki za watoto la Kimataifa kuitaka Idara ya Upelelezi wa Jinai ya Polisi (CID) ya Huduma ya Polisi ya Ghana kuangalia jambo hilo kuwa ni kama uvunjaji wa kanuni ya ustawi wa Sheria ya Mtoto.

Pamoja na kuomba msamaha alisema; Yeye huoga bafuni pamoja na mtoto wake huyo kila wakati.View attachment 1495212
NAKUONA BRO KATIKA UBORA WAKO
 
Back
Top Bottom