Satan
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 1,188
- 1,714
Nachukizwa sana na hii hali. Nachukizwa mno.Tatizo la picha kufunguka jamii forum limekuwa sugu..yaani watu tunaupdates app na kubadilisha simu lakini wapi....
Nachukizwa sana na hii hali. Nachukizwa mno.Tatizo la picha kufunguka jamii forum limekuwa sugu..yaani watu tunaupdates app na kubadilisha simu lakini wapi....
Hili limeshindikana Jf nacho ni kama kijiwe Cha hovyo kwa sasaTatizo la picha kufunguka jamii forum limekuwa sugu..yaani watu tunaupdates app na kubadilisha simu lakini wapi....
Yellow card, sarafina, last king of scotland, neriaClassic Africa movies to watch.
Sarafina
Blood diamond
Sometimes in April
Hotel Rwanda
Tears of the sun
Tausi
Isidingo ( at least you should be aware of)
Nsyuka
True love ( Genevieve na yule jamaa white wa Nigeria)
Niltaka wengine wajazieDooh hapo zinakosekanaje Neria, Roots, Queen Of Katwe, The Gods Must Be Crazy, et al
Dah! Upo sahihi kabisa tena wanafunzi walimchoma Moto...Dah aisee pia alicheza kama chawa wa makaburu
Neria na Sarafina ndio filamu zangu za kwanza kuzingalia nikiwa na akili timamu na zilinihudhunisha sana maana nilihisi ni ukweli kumbe uigizaji tu.Dooh hapo zinakosekanaje Neria, Roots, Queen Of Katwe, The Gods Must Be Crazy, et al
Ndio yule mchizi alichomwa moto?Dah aisee pia alicheza kama chawa wa makaburu
Ukiacha neria kuna ile nyingine ya yellow pages sijui ilikuwa inaitwaje, ya mchizi anacheza boliNeria na Saragina ndio filamu zangu za kwanza kuzingalia nikiwa na akili timamu na zilinihudhunisha sana maana nilihisi ni ukweli kumbe uigizaji tu.
Yellow Card hiyoUkiacha neria kuna ile nyingine ya yellow pages sijui ilikuwa inaitwaje, ya mchizi anacheza boli
Hapo true love ndio imeni knock out story yake,zingine zotee fresh kabisaClassic Africa movies to watch.
Sarafina
Blood diamond
Sometimes in April
Hotel Rwanda
Tears of the sun
Tausi
Isidingo ( at least you should be aware of)
Nsyuka
True love ( Genevieve na yule jamaa white wa Nigeria)
NinayoYellow Card hiyo
Nimeitafuta sana miaka ya karibuni sijafanikiwa natamani kuiangalia tena
Sasa mbona alijichagulia nafasi mbaya kwenye movie wakati stori katunga yeye.Dah! Upo sahihi kabisa tena wanafunzi walimchoma Moto...
Rip....