Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 16,042
- 7,474
Chadema ni msiba kwa taifa
Kama Mandela sio??
Kumbe unajua CHADEMA ni mkombozi...na kifo chake kitakuwa pigo kwa taifa
Pumpkin head
Chadema ni msiba kwa taifa
kwa ubongo wako wa ndezi yesCDM ni zaidi ya zecomedy
Mnaweweseka tu saivi. Chadema si kitu si mali tena
Ukishindana na chadema unashindana na sauti ya mungu hutoweza hakika,una mamuluki waliokuwa ndani ya chama wanavyojitokeza wenyewe,hivyo kuturahisihia kazi ya kuwaondoa,wapi shibuda jiwe alilopigwa goliath nawe ninakujia.Aliyekuwa mwenyekiti wa chadema mkoa wa Arusha Samson Mwigamba amesema kuwa mpango unaofuata kwa sasa ni kumuondoa Dr slaa ndani ya chadema.
amesema baada ya zitto kuondolewa ndani ya chama mtu atayefuata katika kushughulikiwa ni Dr Slaa ambaye kwa sasa amekuwa amekuwa akifanya shughuli za chama kwa kupelekwa pelekwa bila yeye mwenyewe kujua.
Mwigamba amesema kuwa upo mkakati kabambe unaendeshwa na baadhi ya watu kwa kushirikiana na watu walio nje ya chama ili kukimaliza chama kabla ya kufika kwenye uchaguzi mkuu 2015.
Amesema kuwa Mwenyekiti wao Freeman Mbowe ambaye yupo karibu sana na mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema ndio vinara wa mkakati wa kukiangamiza chama, huku John mnyika na Tundu Lissu wakijiweka mbele bila kujua hatima yao.
View attachment 127642 View attachment 127643
source; Rai Jumatano.desemba 18,2013.
Nyie fukuzaneni CCM inashangilia ushindi wa kishindo 2015mwigamba ni mhaini,anazidi kufanya kazi ya kamati kuu nyepesi,bora mwenzao kitila aliyeamua kukaa kimya.
Hata chadema ikifa ccm haitakuwa salama watanzania sio kuwa tunaipenda chadema sana ila dhuluma ya ccm ndo inafanya tuangalia chama mbadala.
Aliyekuwa mwenyekiti wa chadema mkoa wa Arusha Samson Mwigamba amesema kuwa mpango unaofuata kwa sasa ni kumuondoa Dr slaa ndani ya chadema.
amesema baada ya zitto kuondolewa ndani ya chama mtu atayefuata katika kushughulikiwa ni Dr Slaa ambaye kwa sasa amekuwa amekuwa akifanya shughuli za chama kwa kupelekwa pelekwa bila yeye mwenyewe kujua.
Mwigamba amesema kuwa upo mkakati kabambe unaendeshwa na baadhi ya watu kwa kushirikiana na watu walio nje ya chama ili kukimaliza chama kabla ya kufika kwenye uchaguzi mkuu 2015.
Amesema kuwa Mwenyekiti wao Freeman Mbowe ambaye yupo karibu sana na mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema ndio vinara wa mkakati wa kukiangamiza chama, huku John mnyika na Tundu Lissu wakijiweka mbele bila kujua hatima yao.
View attachment 127642 View attachment 127643
source; Rai Jumatano.desemba 18,2013.
Wapuuzwe walio kwenye upuuzi wa kukwamisha mapambano ya kuondoa ccm mwigamba sio wa kumwamini aliwahi kumnanga zitto wakati zzk ana mzozo wa kuutaka uenyekiti. Nitafukua makala yake.
Kuongea lugha chafu na kebehi haisaidii. Mnatumia kisingizio ya kuing'oa CCM kuhalalisha ubadilifu na ukiukaji wa misingi tuliyojiwekea wana mageuzi kupambana na ufisadi. Iko wapi agenda ya Ufisadi? Mmekuwa bubu baada ya kumpokea Lowassa!
Sasa ndo ujue wengi tunazidi kufunguka macho na kutambua wanaohujumu harakati za mageuzi ya kweli na hakika ya kuondoa umaskini ni ninyi Chadema maslahi! Mnawaondoa wale wote waaminifu kama Dr Slaa ili muweze kuendelee kutafuna vizuri na kuturubuni wananchi!
We Na akili Zako Zote Umeona Fisadi Ni Lowassa Tu? Si Tuntoa Mfumo Wa Kifisadi Ulioko CCM. Hatutishiki Na Maneno Kama Hayo
Huu ujumbe unawahusu wote wanaodhani CDM ni ya baba yao.