Mwigamba: Baada ya Zitto ni Dr. Slaa

Aliyekuwa mwenyekiti wa chadema mkoa wa Arusha Samson Mwigamba amesema kuwa mpango unaofuata kwa sasa ni kumuondoa Dr slaa ndani ya chadema.

amesema baada ya zitto kuondolewa ndani ya chama mtu atayefuata katika kushughulikiwa ni Dr Slaa ambaye kwa sasa amekuwa amekuwa akifanya shughuli za chama kwa kupelekwa pelekwa bila yeye mwenyewe kujua.

Mwigamba amesema kuwa upo mkakati kabambe unaendeshwa na baadhi ya watu kwa kushirikiana na watu walio nje ya chama ili kukimaliza chama kabla ya kufika kwenye uchaguzi mkuu 2015.

Amesema kuwa Mwenyekiti wao Freeman Mbowe ambaye yupo karibu sana na mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema ndio vinara wa mkakati wa kukiangamiza chama, huku John mnyika na Tundu Lissu wakijiweka mbele bila kujua hatima yao.

attachment.php
attachment.php

source; Rai Jumatano.desemba 18,2013.
Mama yangu, kumbe Dr. Slaa aliundiwa zengwe tangu zama ziiiile? Ni shiida.
 
Mbowe ni mnyama wa hatari sana.
 
wasaliti kumbe walikuwa wanajuana ? kumbe MMX alikuwa Dr Slaa... Thanks ...

Wala MMX ni mwingine na bado yupo Chadema. Hatoki sasa hivi. Ila Dr Slaa hakujua kuwa je alikuwa anawek kauzibe kwa mipango ya Mbowe!
 
Wewe ndiye hujitambui kwani Lowasa ndiye kaiba pesa za Escrow? Pesa za vivuko feki? Zile billion 251 wizara ya Ujenzi, EPA, buzwagi, sukari, bomba la gesi, mabehewa feki, ATC, nyumba za serikali kuuzwa kisha Magufuli akajiuzia nyumba kibao Kienyeji tu, Kaa ukijua kuwa Richmond ilizaa Dowans na Dowans ikaizaa symbion ambayo baba yako JK alimleta Obama kuja kumwekea baraka ili Watanzania wamwamini, kubali ukatae Richmond si ya Lowasa ni ya baba yao wewe.
kama wakiyasoma haya basi watafyata tu
 
Hii kitu nilisaihisi muda mrefu, iwe inavyokua Ilikua lazima umoja wa Mbowe, Slaa na Zito uvinjike, haukuwezekana kuendelea kwa namna yoyote ile.
 
Siamimi kwa sababu nakumbuka Mbowe alipogombea urais, aligombea tuu ili kujifurahisha na kuvuta ule mkwanja wa King maker!. Dr Alipogombea aligombea kiukweli kweli na 2015 japo naujua msimamo wake, sitaki kuamini kuwa Mbowe anataka kujaribu tena mchezo ule ule huku anaelewa fika stutus ya makabila fulani fulani na urais urais wa JMT unless ile siri ya partenity iwekwe wazi ili achagulike! vinginevyo ni kujifurahisha tena!. As of now Chadema haina mtu wa 2015 ila msijekushangaa yule yule jamaa yangu ndio mgombea wao!. Hili mbona lilikuwa simple tuu kwa kumweleza Zitto all the plans ili asiwatibulie na sio kumzushia hadi kumfukuza!.

Pasco

Duuh !!
 
Back
Top Bottom