Mwigamba: Baada ya Zitto ni Dr. Slaa

Mwigamba: Baada ya Zitto ni Dr. Slaa

Hata Kama umeamua kukataa Slaa hakurubuniwa basi ikubali hii sasa kule Chadema makao makuu slaa kaacha Deni anadaiwa million 1000 alijikopesha hizo pesa za ruzuku Kienyeji tu pia kuna pesa nyingi za chama kazipiga kijanja janja wanataka maelezo.
kumbe na wewe kiazi...cdm hatuna watu kama wewe...
 
Wewe nawe hajitambui kabisa. Mkamatwa na ngozi ndiye mwizi. So atawataja wezi zenzake ambayo alishirikiana nao.
Hapo naona ameanza. Na bado. Kuhusika kwa JK hakumfanyi yeye awe msafi na kutohusika na Richmond. Inaonyesha tu jinsi ambavyo hana maadili na hastahili kuaminiwa na Watanzania. Angekuwa Anajitambu angestep down on the spot Baadae ya JK kushinikiza mkataba wa Richmond. Wewe unOna ujinga unafanyika na wewe una suppot baada ya kuumbuka unasema eti mheshimiwa alilazimisha. Ulikuwa wapi kuyasema hayo zamani? Unasubiri mambo yanakuwa magumu ndo unasema eti sihusiki. Nyie wote wezi. Low._ass na Boss wako WA zamani

Wewe ndiye hujitambui kwani Lowasa ndiye kaiba pesa za Escrow? Pesa za vivuko feki? Zile billion 251 wizara ya Ujenzi, EPA, buzwagi, sukari, bomba la gesi, mabehewa feki, ATC, nyumba za serikali kuuzwa kisha Magufuli akajiuzia nyumba kibao Kienyeji tu, Kaa ukijua kuwa Richmond ilizaa Dowans na Dowans ikaizaa symbion ambayo baba yako JK alimleta Obama kuja kumwekea baraka ili Watanzania wamwamini, kubali ukatae Richmond si ya Lowasa ni ya baba yao wewe.
 
kumbe na wewe kiazi...cdm hatuna watu kama wewe...

CDM ipi hiyo yako peke yako? Tambua CDM ni Taasisi usijifanye kuwa msemaji wake wewe baki na babu yako Slaa endeleeni kutafuna pesa haramu zitawatokea puani. CDM hawakutambui huwezi kumtetea Slaa kisha ujidai wewe ni Chadema.
 
We ni Team Lowassa au CDM? Maana ni kambi tofauti na kwa sasa ni urafiki wa paka na panya!
 
Mkuu, hawa CDM nadhani bora wangeachana kabisa na siasa ili wawe kundi la waigizaji washindane na akina Masanja Mkandamizaj au akina Bambo

Tuliambiwa baada ya kuvunjwa kwa bunge zaidi ya wabunge 50 watajiunga na ACT hilo hatujaliona, tukaambiwa watamsimamisha mtu mahili kugombea nafasi ya Urais, tumeshuhudia sarakasi tupu, fomu imechukuliwa jana na leo tayari washapata wadhamini kutoka mikoa mitano (inawezekana kweli). ACT wanasahau kitu kimoja kwamba katu mtoto hawezi kumtolea radhi baba yake. Ukweli unabaki pale pale kwamna Chadema ni baba mzazi wa ACT, Mnaweza mkapinga lakini ukweli ndo huo.
 
Wewe ndiye hujitambui kwani Lowasa ndiye kaiba pesa za Escrow? Pesa za vivuko feki? Zile billion 251 wizara ya Ujenzi, EPA, buzwagi, sukari, bomba la gesi, mabehewa feki, ATC, nyumba za serikali kuuzwa kisha Magufuli akajiuzia nyumba kibao Kienyeji tu, Kaa ukijua kuwa Richmond ilizaa Dowans na Dowans ikaizaa symbion ambayo baba yako JK alimleta Obama kuja kumwekea baraka ili Watanzania wamwamini, kubali ukatae Richmond si ya Lowasa ni ya baba yao wewe.

Ndo maana ukajiita minyoo hujui unachofanya hapa duniani.
 
Mwigamba ahojiwe: alijua nini kuhusu mpango wa Mbowe kumtoa Dr Slaa?
 
Ni
DR SLAA AMESEMA TUSIMPIGIE KURA LOWASA SASA ALITAKA TUMPIGIE NANI?

slaa kanunuliwa na ccm? au stress tu za kukosa urais?

Kahoji wapi alichukua form ama kutangaza nia ykuawania urais ikiwa 2010 aliombwa agombee na haikua ridhaa yake...?

Tuache ushabiki wakisiasa na vyama slaa alichongea kipo na lazima ukubali kua huo ni mwanzo wa kutoa ya moyon ikiwa CDM watamchafua huyu mzee anamengi zaid wamewekana viporo....

TAIFA KWANZA USHABIKI WAKUMPETI PETI MTU BADAE
 
Dah! Kumbe haya mambo yalipangwa! Dr Slaa ni mvumilivu sana
Mkuu kuna makala moja niliwahi kusoma zamani kkdogo, ikisema Rais wa chadema 2015 atatoka CCM, alisema Mwenyekiti wa CHADEMA, Moshi mjini, leo hii mada imenikumbusha huko.
 
Back
Top Bottom