Epason
JF-Expert Member
- Nov 9, 2009
- 448
- 38
mwigamba ni mwanasiasa mwamba ambaye anainyima raha na usingizi ameweka wazi kuwa dr slaa kwa sasa anafanya siasa za kupelekwa pelekwa tu.
Mpeni uenyekiti CCM then agombee urais 2015

Aliyekuwa mwenyekiti wa chadema mkoa wa Arusha Samson Mwigamba amesema kuwa mpango unaofuata kwa sasa ni kumuondoa Dr slaa ndani ya chadema.
amesema baada ya zitto kuondolewa ndani ya chama mtu atayefuata katika kushughulikiwa ni Dr Slaa ambaye kwa sasa amekuwa amekuwa akifanya shughuli za chama kwa kupelekwa pelekwa bila yeye mwenyewe kujua.
Mwigamba amesema kuwa upo mkakati kabambe unaendeshwa na baadhi ya watu kwa kushirikiana na watu walio nje ya chama ili kukimaliza chama kabla ya kufika kwenye uchaguzi mkuu 2015.
Amesema kuwa Mwenyekiti wao Freeman Mbowe ambaye yupo karibu sana na mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema ndio vinara wa mkakati wa kukiangamiza chama, huku John mnyika na Tundu Lissu wakijiweka mbele bila kujua hatima yao.
View attachment 127642 View attachment 127643
source; Rai Jumatano.desemba 18,2013.

mwi GAMBA
Nimeamini kweli huyu jamaa ni Mwi "Gamba"...
mmesha ongeza muda?Mtifuano utakua zaidi 2015 hapo ndipo chama kitakaposambaratika kabisa
Believe this & u'll believe anything.. Hata ukiambiwa mie ni baba yako..
Mpeni uenyekiti CCM then agombee urais 2015
Huyu msaliti MM3 nimezikuta habari zake huko home MAGU,Alituma mil 1.6 kwa lengo la kuvuruga na kuandaa mazingira ya kuweka mtandao wao wa usaliti kwa kuwatumia ZENA ambaye ni diwani viti maalumu,BAHATI ambaye ni kiongozi wa BAVICHA,BUBESHI ambaye ni kada tu, CHACHA ambaye ndiye katibu wa CDM wilaya.Makamanda walishitukia hujuma hizo na kuzizima mara moja na ikumbukwe kuwa ndiko nyumbani kwao na huyo mamluki.waliokaribu naye wamtonye na kama si kweli basi ajitokeze akane!