Mwifwa si upone Kwanza?

Mwifwa si upone Kwanza?

Mwifwa katisha akili za juu zikiamia chini unasahu kama umevunjika.
 
Hahaaa. Hata na mie nimeona babu. Kweli hayana pazia aisee
Hebu kapite na wewe nione vile atageuka. Hakikisha kale kachura kako umekabana au ukahifadhi kwenye lile dera lako la blue bahari
 
Mwifwa umetisha.

33540481_848622442014919_3404721271047454720_n.jpg
Mwifwa mbona kimya sana?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom