Mwezi umeonekana Saudia

Mwezi umeonekana Saudia

Sisi tunasubiri tutangaziwe na BAKWATA au tuuone kwa macho yetu ndio tu deklee sikukuu.
Hata hivyo usipoonekana leo kuna uwezekano mkubwa sana ukaonekana kesho.
 
Baraza la Mahakama kuu yasaudia imetanganga kuonekana mwezi na kesho ni sikukuu.

Takabbala Allaahu Minna Waminkum

http://www.fatwa-online.com/ramadhaan-1436-high-judiciary-council-saudi-arabia/

Sisi tunasubiri tutangaziwe na BAKWATA au tuuone kwa macho yetu ndio tu deklee sikukuu.
Hata hivyo usipoonekana leo kuna uwezekano mkubwa sana ukaonekana kesho.

Hilo ni baraza la Saudi Arabia ndiyo limetangaza na linaheshimika kwao!! Kwa nini waislamu wa Tanzania hawafuati wala kitii baraza lao la BAKWATA??
 
Kama kuna shaka wacha tukamilishe 30 kesho ili keshokutwa jogoo awike asiwike kutakucha.
 
Asiye itambua Bakwata na afungue aje aone cha moto
 
Kwa sababu ni wakula pilau watu watafosi eid kesho, lakini wakufunga hawakubali mpaka wauone
 
Back
Top Bottom