CONTROLA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2019
- 6,939
- 22,996
tena kwa adabu na heshimaUpepo unavuma vibaya anakutafuta faster tu
atakuita majina yote ya heshima
Ukitaka dalali akuumize,muonyeshe kwamba
ukikosa chumba/nyumba unaweza kuadhirika
Yani atatumia upenyo huo huo kuku kazia hela yake ya mwezi mzima