Mwezi mmoja ni wa dalali, madalali hii tabia mmeitoa wapi?

PATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Messages
11,157
Points
2,000

PATIGOO

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2012
11,157 2,000
Yaani madalali wa siku hizi eti akikutafutia nyumba anakwambia umpe mwezi mmoja wake

Mfano appartment ya laki 1 na 50 kwa mwezi anataka umpe laki 1 na 50 kama malipo...hapo kukutembeza kwenye nyumba ni elfu 20

Yaani mfano unatafuta nyumba ya kodi ya laki 2 jiandae kuweka laki mbili ya dalali juu na elfu 20 ya kukutembeza kwenye nyumba

Hawa ndo madalali bwana jee hii ni sawa??hapana huu ni unyonyaji anaepaswa kumlipa dalali ni mwenye nyumba sio mteja....

Nisameheni sana madalali ila ndo ukweli huo
Nashukuru kwa post hii..natamani siku moja Waziri Lukuvi waweke Sheria Kali kuhusu hawa watu
 
BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Messages
5,789
Points
2,000

BASIASI

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2010
5,789 2,000
Yaani madalali wa siku hizi eti akikutafutia nyumba anakwambia umpe mwezi mmoja wake

Mfano appartment ya laki 1 na 50 kwa mwezi anataka umpe laki 1 na 50 kama malipo...hapo kukutembeza kwenye nyumba ni elfu 20

Yaani mfano unatafuta nyumba ya kodi ya laki 2 jiandae kuweka laki mbili ya dalali juu na elfu 20 ya kukutembeza kwenye nyumba

Hawa ndo madalali bwana jee hii ni sawa??hapana huu ni unyonyaji anaepaswa kumlipa dalali ni mwenye nyumba sio mteja....

Nisameheni sana madalali ila ndo ukweli huo
MKIAMBIWA MJENGE.MNASHINDA RODEGRDEN..CALABASH HAO AWAKWEPEKI HALALIYENU TU LOH UMESAHAU KUNA BUKU KUMI NOWDAYS KUKUONYESHA ILIPO MBAYA UNALIPIA BAJAJI WEWE KUFIKA HAPO
 
BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Messages
5,789
Points
2,000

BASIASI

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2010
5,789 2,000
MADALALI N KAMA.MUSTERBATION
UNAAMUA UNAENDELEA NAYI AMA UNAACHA EEASY
UKITAKA KUWAACHA HAO JENGA
ELSE HAOO N NDUGU WAKUFIKIA WALA USINGEWALETA HUMU WANAZIDI KUONGEZA VIKODI MARA CHAKUKUPELEKA MWISHO UKIJISAIDIA SIKUHIO UTALIPIA PIA
 
toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Messages
1,872
Points
2,000

toplemon

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2017
1,872 2,000
mimi nilichofanya wakati ananitembeza kwenye nyumba mbali mbali,namuandalia posho ya usumbufu.wengi huwa ni 10,hii mara zote ni kabla ya nyumba kupatikana,yaani akuzururishe tu.

Sasa hizo nyumba unazoonyeshwa unazikataa zote.halafu baadae unarudi kwa uliyoielewa.unaita faza house.*Mzee kodi hii hapa unaandika mkataba au mpaka umuone dalali wako hapa???mzee na usawa huu wa kusikilizia wateja lazima alete makaratasi.yule dalali akija.ni kavu moja tu,kwamba that day mlimalizana.over.
Hivi inawezekana?maana naskia wakikupeleka kwa nyumba hizo sio rahisi kumkuta mwenye nyumba
 
toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Messages
1,872
Points
2,000

toplemon

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2017
1,872 2,000
Ni bora ikabaki hivihivi isije ikafika siku eti dalali alipe kodi, cha moto tutakuona. Kadiri matumizi ya smart phone yanavyoongezeka itafika wakati itabidi hawa jamaa wakatafute kazi nyingine maana mwenye nyumba na mpangaji watakutana mtandaoni.
Kweli
 
toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Messages
1,872
Points
2,000

toplemon

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2017
1,872 2,000
Kupangisha nyumba ni biashara, kwa hiyo mwenye nyumba kwa vile hawezi au hataki kutafuta wateja mwenyewe basi yeye ndiye anatakiwa kumpatia commission dalali, na siyo mteja nd'o awe mtoa commission. Hivyo mwaka wa kwanza mwenye nyumba anapaswa kupokea pesa ya miezi 11 (japo sijaelewa uhalali wa dalali kulipwa pesa ya mwezi mmoja ni katika mkataba wa muda gani).
Tatizo mnafanya mambo kwa mazoea hata pale inapoonekana kabisa kuwa jambo fulani si sawa kabisa.
Upo sahihi
 
Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Messages
19,539
Points
2,000

Extrovert

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2016
19,539 2,000
Naona mmekutana wazurumati mnatujadili madalali. Katika watu wanaoongoza kwakuzurumiwa pesa nisisi madalali, jitu mnakubaliana vizuri ila sumu likimjua mwenye nyumba2 kosa lajinai linajifanya kama vile halikujui tena.

Acheni hizo jamani
Mtakula mlikopeleka mboga🤣🤣🤣
 
Kubwalijalo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2018
Messages
325
Points
250

Kubwalijalo

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2018
325 250
Yaani madalali wa siku hizi eti akikutafutia nyumba anakwambia umpe mwezi mmoja wake

Mfano appartment ya laki 1 na 50 kwa mwezi anataka umpe laki 1 na 50 kama malipo...hapo kukutembeza kwenye nyumba ni elfu 20

Yaani mfano unatafuta nyumba ya kodi ya laki 2 jiandae kuweka laki mbili ya dalali juu na elfu 20 ya kukutembeza kwenye nyumba

Hawa ndo madalali bwana jee hii ni sawa??hapana huu ni unyonyaji anaepaswa kumlipa dalali ni mwenye nyumba sio mteja....

Nisameheni sana madalali ila ndo ukweli huo
Mbona ipo mda mrefu sana hiyo kitu. Au ndio kwanza upo Chuo ndio watafuta room Kaka brother.
 
Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Messages
8,845
Points
2,000

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2018
8,845 2,000
Yaani madalali wa siku hizi eti akikutafutia nyumba anakwambia umpe mwezi mmoja wake

Mfano appartment ya laki 1 na 50 kwa mwezi anataka umpe laki 1 na 50 kama malipo...hapo kukutembeza kwenye nyumba ni elfu 20

Yaani mfano unatafuta nyumba ya kodi ya laki 2 jiandae kuweka laki mbili ya dalali juu na elfu 20 ya kukutembeza kwenye nyumba

Hawa ndo madalali bwana jee hii ni sawa??hapana huu ni unyonyaji anaepaswa kumlipa dalali ni mwenye nyumba sio mteja....

Nisameheni sana madalali ila ndo ukweli huo
Saizi hali ilivyo nyumba ya laki 2 dalali hata 20000 anakubali saafi,huku nje hali ngumu sana
 
Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Messages
8,845
Points
2,000

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2018
8,845 2,000
Mimi natafuta nyumba mguu kwa mguu hadi napata

Nikishindwaga namwambiaga dalali mapema

Bwana nina 20k nataka untafutie nyumba ya 100k

Akiona dharau shauri ake akiona inamfaaa atantafutia

wengi watajitia kukataa ila we waachie namba ya simu

utaona tu kameseji "mkuu vipi ile nyumba bado unatafuta" (hapo unajua ndege kashanasa huyo)
Upepo unavuma vibaya anakutafuta faster tu
 
Forum statistics

Threads 1,343,410
Members 515,033
Posts 32,783,827
Top