Danp36
JF-Expert Member
- Jul 31, 2010
- 2,096
- 920
Vizuri mkuu ,Naunga mkono hoja , yaani unakubaliana na mtu akutafutie sehemu ya kuishi alafu unamkimbia ?ni dhuluma,hora Ku bargain!!!!!Umejibu kwa weledi wa hali ya juu kabisa.
Kila sehemu kuna madalali, taarifa zinauzwa.
Hakuna wakati mtu anaweza akawa anajua kila kitu au akapata muda wa kufuatilia kila kitu.
Tuache kudharau kazi za watu. Kutomlipa dalali ni utapeli, haina tofauti na mtu akudhulumu baada ya kumfanyia kazi.
Tuheshimu kazi za watu.