Mwezi mmoja ni wa dalali, madalali hii tabia mmeitoa wapi?

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Messages
1,872
Points
2,000

toplemon

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2017
1,872 2,000
Kutafuta nyumba mguu kwa mguu wapi nayo kujichosha tu. Wewe post matangazo fb (kwenye groups za members wengi), insta, jumia, zoom tanzania, kupatana etc.

Weka bei yako na vigezo vyako..mbona owners watakuona tu hata kama dalali hakuzingui maana ushaweka vigezo vyako na usilipe hela mpaka ujiridhishe na info za wamiliki.

Mas*nge sana haya majamaa hata mimi siyapendi kinoma noma.
Asante sana kwa ushauri murua
 

Root

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Messages
32,723
Points
2,000

Root

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2012
32,723 2,000
Walinipa bei zaidi bila kuongea na mwenye nyumba. Mwenye nyumba akanipa acc nikamuwekea. Nilipotoka kuweka Madalali walikuwa wengi. Mmoja wao akanifata akasema tupe kiasi fulani sema ndicho ulicho nacho nikaokoa 200000 nzima. Na nyumba nikakaa miezi 9 badala ya 6
Mkuu kvp na ilikuaje?
 

lwidia2k

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2018
Messages
266
Points
250

lwidia2k

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2018
266 250
Mimi natafuta nyumba mguu kwa mguu hadi napata

Nikishindwaga namwambiaga dalali mapema

Bwana nina 20k nataka untafutie nyumba ya 100k

Akiona dharau shauri ake akiona inamfaaa atantafutia

wengi watajitia kukataa ila we waachie namba ya simu

utaona tu kameseji "mkuu vipi ile nyumba bado unatafuta" (hapo unajua ndege kashanasa huyo)
ukienda kichwakichwa unakula za mbavu
 

lwidia2k

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2018
Messages
266
Points
250

lwidia2k

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2018
266 250
Dawa yao ndogo sana, mimi baada ya kupigwa 10% na hawa mdomo pesa miguu ajira nikajiongeza natafuta dalali anatafuta nyumba then anaenda kunionyesha nikiielewa baadae naenda na wife mi nakaa nje wife anajifanya amepata dondoo kwa majirani bas atamwimbisha nwenye nyumba anamwaga mpunga kisha tunahamia baada ya wiki, dalali akienda anaambiwa imechukuliwa akinipigia mimi namwambia nimeshaghairi hapo ni ubaya ubayani tu.
Duuuuhh akikugundua atakuloga
 

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Messages
1,872
Points
2,000

toplemon

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2017
1,872 2,000
Walinipa bei zaidi bila kuongea na mwenye nyumba. Mwenye nyumba akanipa acc nikamuwekea. Nilipotoka kuweka Madalali walikuwa wengi. Mmoja wao akanifata akasema tupe kiasi fulani sema ndicho ulicho nacho nikaokoa 200000 nzima. Na nyumba nikakaa miezi 9 badala ya 6
Kumbe!
 

mkorinto

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Messages
13,313
Points
2,000

mkorinto

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2014
13,313 2,000
mimi nilichofanya wakati ananitembeza kwenye nyumba mbali mbali,namuandalia posho ya usumbufu.wengi huwa ni 10,hii mara zote ni kabla ya nyumba kupatikana,yaani akuzururishe tu.

Sasa hizo nyumba unazoonyeshwa unazikataa zote.halafu baadae unarudi kwa uliyoielewa.unaita faza house.*Mzee kodi hii hapa unaandika mkataba au mpaka umuone dalali wako hapa???mzee na usawa huu wa kusikilizia wateja lazima alete makaratasi.yule dalali akija.ni kavu moja tu,kwamba that day mlimalizana.over.
 

R.K

Senior Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
152
Points
250

R.K

Senior Member
Joined Feb 5, 2013
152 250
Ni bora ikabaki hivihivi isije ikafika siku eti dalali alipe kodi, cha moto tutakuona. Kadiri matumizi ya smart phone yanavyoongezeka itafika wakati itabidi hawa jamaa wakatafute kazi nyingine maana mwenye nyumba na mpangaji watakutana mtandaoni.
 

Ankazominiotra

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Messages
501
Points
500

Ankazominiotra

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2012
501 500
Kupangisha nyumba ni biashara, kwa hiyo mwenye nyumba kwa vile hawezi au hataki kutafuta wateja mwenyewe basi yeye ndiye anatakiwa kumpatia commission dalali, na siyo mteja nd'o awe mtoa commission. Hivyo mwaka wa kwanza mwenye nyumba anapaswa kupokea pesa ya miezi 11 (japo sijaelewa uhalali wa dalali kulipwa pesa ya mwezi mmoja ni katika mkataba wa muda gani).
Tatizo mnafanya mambo kwa mazoea hata pale inapoonekana kabisa kuwa jambo fulani si sawa kabisa.
 

IROKOS

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2011
Messages
8,070
Points
2,000

IROKOS

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2011
8,070 2,000
Kuna mtaa mmoja dalali mmoja wanamwita mngoni ukimzingua anakuja kukata gogo kila siku mpaka umpe hela yake hata ubadili kitasa cha geti.Hata kama fensi ina umeme asubuhi ukiamka unakuta nnya mlangoni.
Dawa yake mbwa tuu, nina bonge la mbwa huwa halipigi kelele... Ukilifungua usiku linatafuta sehemu linabana kimyaa.... Likisikia kitu au mtu linanyata kimya kimya utashangaa nyama ya tako imeenda... Ukisema ooh unakuja na nyama yako, hali wala hagusi....
 

Forum statistics

Threads 1,343,409
Members 515,033
Posts 32,783,815
Top