Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 2,237
- 4,040
Tanzania ili uwe dalali unahitaji kuwa na Instagram Akaunti tu na simu ya tochi.
Humo humo utatapeli watu. Utaibia watu ni mradi siku ziende. Unapangisha nyumba moja lakini umezungukwa na madalali 10.
gari la milioni 10 utauziwa Mil 13. Mil 3 inaendaka kwa dalali, serikali haipati hata senti na usalama wa aliyeuziwa gari ni changamoto.
Nyumba au kiwanja cha Mil 50, dalali atakuanzia mil 60, utaishia 57M, mil 7 yote inaenda kwa dalali, serikali inapata kiasi gani?
Pamoja na kutoa hizo hela bado kuna risk ya kutapeliwa, ukauziwa kiwanja au nyumba document fake.
Waziri Biteko na timu yako , suala la madalali kurasimishwa sio jipya, lipo hapa JF, tulijadili miaka 4 iliyopota tangu Enzi za ndugu yako Ngosha.
Tulisema tunatakiwa kuwa na Registered Agents wa magari, nyumba, viwanja, electronics or anything related to Udalali. Hii ni kwa ajili ya usalama wa Raia na nchi kwa ujumla.
Dalali yeyote anatakiwa kuwa na:
1. Ofisi na mkataba wa Ofisi lazima ukapitiwe TRA kama biashara nyingine
2. Awe na TIN ya mlipakodi
3. Awe na leseni ya Udalali
4. Afanyiwe makadirio
5 Awe na mashine ya EFD
6. Transaction zote zipitie Bank kwenye Akaunti ya Dalali
7. Wenye nyumba, magari au assets wawe linked specific na madalali walio karibu na maeneo yao na ukipangisha nyumba nje ya dalali ni kuhujumu uchumi na utahukumiwa kwa sheria ya fedha.
Nashauri: Na utambue nchi zilizoendelea hiyo ni very common practice, Mashaka.
Madalali wengi in developed countries hawana mambo ya Instagram: unahitaji huduma au nyumba, unatafuta Ofisi ya Dalali iliyokaribu yako.
TZ pekee ofisi ya Dalali ni Instagram na Mnakutana juu kwa juu na mnalipana kihuni huni.
Hili litazamwe.