Mweusi kaoa Mweupee

Mweusi kaoa Mweupee

Robert+De+Niro+Tops+Polo+Shirt+3CBXLhZSUccl.jpg
dennis.jpg
 
kwa raha zao..Im so against racism, each person can marry to his own preference..kama mimi, napenda sana mademu wa waarab, nikipata mmoja Insha'Allah ntamuweka lock ndani kabisa.
 
Wapo wengi sana. Lazima utampata tu demu wa kiarabu.
 
nikijaga bongo siwaonagi mbona, nawaonaga mademu kitanga..alafu approaching her is the difficult part, yaani sasa mfano umemuona kwenye mgahawa, we utaanzaje kumuapproach?
 
Shinyanga na Tabora kuna watoto wa kiarabu wengi sana na wengine wamechanganya na damu ya kisukuma wamekaa mkao mzuri sana. Ukifika Tz tembelea maeneo hayo. Kuwa-approach ni simple sana. Ukini-PM nitakufundisha kwa fee ndogo sana.
 
kwa fee tena hahah? tabora na shinyanga huwa napitaga tu wakati naenda kijijini..si nasikiaga waarab wote huko waliondoka wakaenda bongo?
 
kwa raha zao..Im so against racism, each person can marry to his own preference..kama mimi, napenda sana mademu wa waarab, nikipata mmoja Insha'Allah ntamuweka lock ndani kabisa.

Hebu tuelimishane kidogo, akija mtu akasema sipendi kabisa mademu wa Kiafrika/weusi atakuwa ni racist au la?
 
nah..thats his own taste..kama mimi mademu wa kibongo weusi nimemalizana nao..sitaki tena..thats my own taste,it reflects my choices kwa sababu kila mtu ana preference yake. Racism itakuwa kama zamani ambapo nchi nyingi za ulaya ziliamua kuweka ban kwenye interracial marriages,yaani hapo ni law ambayo ina directly discriminating africans.
 
kwa raha zao..Im so against racism, each person can marry to his own preference..kama mimi, napenda sana mademu wa waarab, nikipata mmoja Insha'Allah ntamuweka lock ndani kabisa.
uweke lock kama tatu hivi manake kwa kusepa wameshundikana. Kila la kheri.
 
nah..thats his own taste..kama mimi mademu wa kibongo weusi nimemalizana nao..sitaki tena..thats my own taste,it reflects my choices kwa sababu kila mtu ana preference yake. Racism itakuwa kama zamani ambapo nchi nyingi za ulaya ziliamua kuweka ban kwenye interracial marriages,yaani hapo ni law ambayo ina directly discriminating africans.

Kwa hiyo racism mpaka iwe kwa serikali, ikiwa upande wa mtu inakuwa preference tu?

Chukulia hili:

mtu amepata siti karibu na wewe kwenye ndege na wewe ni mweusi, akasema abadilishiwe kwa sababu ana prefer kukaa na mtu mweupe, hiyo utaiita racism au preference pia?

Au mtu mgahawani akatae kuhudumiwa na mtu mweusi kwa sababu yeye ana prefer kuhudumiwa na mtu mweupe, hiyo ni racism au preference?
 
Nah racism sio mpaka serikali tu, hata mtu anaweza kuwa racist, but unajua ukizizungumzia mambo ya kuoa, then inakuja kwa preference ya kila mtu, huo mifano uliyotoa doesnt match with the topic that is preference of marriage. If someone doesnt want to get married to a black african thats alright because it only affects him personally, it doesnt affect any other person, sio kwamba analazimishwa kuoa mwafrika..ni yeye mwenyewe atajijua lakini unajua mifano uliyotoa basi his racism inamuaffect huyo kwenye mgahawa na kwenye ndege which is illegal..mambo ya civil liberties yana limit, you can enjoy your liberty but moja ya limit ni kutodiscriminate against any other person.
 
Hiyo ya kuoa ni preference iliyokuwa based kwenye misingi ya race/skin color ....ambao ni msingi wa ubaguzi

Mtu anaeweza kujenga principles za preference zake kwa misingi ya race ni rahisi kuendeleza racism pale ambapo hadhani kuwa sheria inaweza kumchukulia hatua

Mtu anae prefer race fulani akifika Tanzania ambapo hakuna sheria zinazofanya kazi ataajiri watu wa race fulani tu kwa sababu ana wa prefer kufanya nao kazi kuliko wengine

Mtu anaejenga preferences zake kwa misingi ya race ana chembe chembe za kibaguzi, akipata fursa ataitumia
 
sioni kwa perspective yako, me naona kama kapenda wanawake wengine, thats up to him, huwezi lazimisha apende waafrika, huko sasa utakuwa unaingilia his private life. Kila mtu inabidi aweke his private life kivyake, asimsumbue mtu, asisumbuliwe pia.
Unajua sijui kuhusu sheria za bongo sana kuhusu mambo ya race na employees rights etc, lakini nina uhakika ipo, ni kiasi tu cha kufuatilia, kama mtu atakuwa anatoa au kufukuza kazi kwa misingi ya rangi, basi unaweza ukaamwanzishia case mahakamani.

Watu wengi ni racist, lakini wanajua kuwa sheria inawabana na itachukua mkondo wake kama akianza kubagua watu wengine, wengi huwa wanaiweka moyoni tu na kuishia hapo.
 
Bila ya shaka racism inaanza kwenye preferences.

Sio suala la mtu kulazimishwa kumpenda mwafrika bali ni kuangalia chanzo cha mtu kuwa na preferences ambazo zinafungamana na race.

Zinaanzaje?

Na jee kama atajua sheria haitambana (Tanzania case in point), preferences zake zitafikia wapi?
 
Sometimes I think the word 'racism' gets overused!

When it comes to love and relationships people should be free to be with whoever they prefer to be with.

Some prefer tall in height, some prefer short, others prefer a svelte figure while some like plump.

Same goes for skin tone. Some like the caramel kind, others prefer the crunchy black, and etc.

If you try hard to look for racism, you'll find it. If you look at things through its prism, you'll see it.

I'm all for people to choose what they like and to choose whom they wanna be with without playing the race card.
 
Bila ya shaka racism inaanza kwenye preferences.

Sio suala la mtu kulazimishwa kumpenda mwafrika bali ni kuangalia chanzo cha mtu kuwa na preferences ambazo zinafungamana na race.

Zinaanzaje?

Na jee kama atajua sheria haitambana (Tanzania case in point), preferences zake zitafikia wapi?

sheria zipo na zinambana..its a matter of both international law na domestic law..tatizo si kuwepo kwa sheria bali ni watanzania wengi hawana habari nayo na hawajihusishi, wanabaki tu kulalamika kuwa wameonewa badala ya kwenda kwa mwanasheria awasaidie..

Msingi wa racism si matter ya kusema huyu jamaa anapenda wazungu tu basi yeye ni mbaguzi, la hasha..msingi unaenda chini ya hapo, unakuta kuwa hawataki kusoma na weusi, hawataki weusi nchini mwake, hataki mwanae aoelewe na mweusi etc etc..you have to go deeper and see if he is really racist..yaani kwa mtazamo wako kama ni wa uhakika basi hata mimi ni racist maana napenda zaidi kuwa na demu mwaarabu na si mweusi, sasa how can i be racist wakati mm ni mweusi tayari? sina hata chembe ya ubaguzi ndani mwangu, nimekuwa tu na mademu weusi na kuona sasa basi, nataka aina nyingine.

Inabidi uelewe kuwa kila mtu ana preference yake..mtu anaweza akasema sitaki kuoa mweusi lkn hana hata chembe ya ubaguzi, its just his own taste
 
Msingi wa racism si matter ya kusema huyu jamaa anapenda wazungu tu basi yeye ni mbaguzi, la hasha..msingi unaenda chini ya hapo, unakuta kama wewe kuwa hataki kusoma na weusi, hawataki weusi nchini mwake, hataki mwanae aoelewe na mweusi etc etc..you have to go deeper and see if he is really racist..yaani kwa mtazamo wako kama ni wa uhakika basi hata mimi ni racist maana napenda zaidi kuwa na demu mwaarabu na si mweusi, sasa how can i be racist wakati mm ni mweusi tayari? sina hata chembe ya ubaguzi ndani mwangu, nimekuwa tu na mademu weusi na kuona sasa basi, nataka aina nyingine.

Inabidi uelewe kuwa kila mtu ana preference yake..mtu anaweza akasema sitaki kuoa mweusi lkn hana hata chembe ya ubaguzi, its just his own taste

Msingi wa racism ni imani kuwa watu wa rangi fulani ni bora kuliko watu wa rangi zingine na hivyo kupelekea kuwadharau, kuwanyanyasa, na kuwatendea visivyo, kwa ujumla.

Msingi wa preference ni mapenzi tu kwa kitu au mtu bila ya kujiona wewe ni bora zaidi ya wengine kwa misingi ya kubagua.

Ni vitu viwili tofauti kabisa.
 
Back
Top Bottom