Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,303
sheria zipo na zinambana..its a matter of both international law na domestic law..tatizo si kuwepo kwa sheria bali ni watanzania wengi hawana habari nayo na hawajihusishi, wanabaki tu kulalamika kuwa wameonewa badala ya kwenda kwa mwanasheria awasaidie..
Msingi wa racism si matter ya kusema huyu jamaa anapenda wazungu tu basi yeye ni mbaguzi, la hasha..msingi unaenda chini ya hapo, unakuta kama wewe kuwa hataki kusoma na weusi, hawataki weusi nchini mwake, hataki mwanae aoelewe na mweusi etc etc..you have to go deeper and see if he is really racist..yaani kwa mtazamo wako kama ni wa uhakika basi hata mimi ni racist maana napenda zaidi kuwa na demu mwaarabu na si mweusi, sasa how can i be racist wakati mm ni mweusi tayari? sina hata chembe ya ubaguzi ndani mwangu, nimekuwa tu na mademu weusi na kuona sasa basi, nataka aina nyingine.
Inabidi uelewe kuwa kila mtu ana preference yake..mtu anaweza akasema sitaki kuoa mweusi lkn hana hata chembe ya ubaguzi, its just his own taste
Mkubwa mimi sijakataa kuwa kuna preferences duniani. Kwa mfano ninaweza kusema na-prefer a white to a black iphone. Ila hivyo ni vitu sio watu.
Ninachotaka kujifunza inakuwaje mtu anaprefer a certain race of people? Kwa sababu sio watu wote wa race hiyo wana muonekano sawa, tabia wala hulka zinazofanana.
Mfano wako wewe hapo, unapenda Waarabu. Waarabu kimuonekano wanatofautiana ukianzia weupe wenye singa na macho ya grey/kijani hadi weusi na macho meusi na nywele ngumu. Tabia na tamaduni pia ni tofauti baina ya nchi na nchi na mtu na mtu
Unaposema una prefer race una prefer nini?