Mwenzio akinyolewa ...tabia mbaya!!!

Uumm...you may want to rephrase that....kuwa na kimada/njemba pembeni si kawaida ya Mwafrika....ni kawaida ya binadamu.

U may want to rephrase that...si kawaida ya binadamu, ni kawaida ya binadamu wasio na misimao maishani mwao!
 
jamani kuna tabia inanichefua kuliko kichefuchefu, utakuta mtu ana mkewe halafu na pembeni kimada kama kawaida ya mwafrika.

Anapotoka outing na kimada basi mkewe akimpigia simu hata kama kuna dharura ya mtoto kuugua anakuja juu na kumpa kimada simu amjibu mkewe, na baadhi ya vibustani hivyo havipigiwi vyacheza ataanza kumtukana mwanamke mwenzake na kumshambulia kwa maneno makali mpaka mtu ajisikie kua.na hilo janadume nalo likirudi litamshushia mkewe kipondo kwa madai kua amemvunjia starehe yake kwa kero ya simu zake.hivi jamani nyie mijitu mnatuoa ili kututesa kwa manyanyaso au kama mlijua starehe hazijawakoma why muwanyasenyase wake zenu????????????/,kwakweli tabia hii inanichefua kuliko kawaida ni vitendo vya kishenzi.

Kama uliona kimada wako ni bora kwanini usimuoe yeye mkishawazalisha wake zenu tayari wanashuka thamani mtawakashifu kwa maneno mabovu a kuwasaliti,mbona wanawake hawawapi mabwana zao simu wawatukane?,kama yupo atoe ushuhuda kwa sentensi itakayoanza na q na kumalizikia na x.

Na wewe kimada ujue kabisa mwenzio akinyolewa wewe........................................ Kwani mkewe akichoka akafunganya mizigo ukawekwa wewe ndani jiandae ujue kuna siku na wewe yatakukuta msione raha kuvunja ndoa za watu na nyie tafuteni wanaume zenu wamejaa tele,mbona wengine wanajitangaza kwenye mitandao na vyombo vya habari na ninyi mtapata wenza wenu msifurahie kusambaratika kwa ndoa na familia za watu.

sorry

hiyo sio ndoa hao walitamaniana
 
Usicheze na ndoa ndugu hasa pale unapopewa mwenzio na mungu yaani chaguo la mungu na si wazazi wee mnaishi kma mko mbinguni
 
POLE SANA TENA SANA KWA KUCHEFULIWA NA TABIA HIYO MBAYA.. Ajabu ni kwamba huelewi na wewe uko mbali sana na ufahamu. sikia au ona hii hapa. Nawafahamu na nawajua ambao nimewahi hata kujaribu kuwasuluhisha.. ajabu niliyo igundua baada ya majario ya suluhu ya mda mrefu!!! wote watatu,, mume mke na kimada,, walikutana vichaa!!! hakuna hata mmoja aliye kua katika ufahamu wa kawaida. inasikitisha sana nawahurumia ila siwezi kuwasaidia na pia hawako tayari kusaidiwa kwa namna yoyote ile.
 
haya maisha yapo-ila ukipewa na hawara unampa nafasi ili yale mema uliyomtendea yamuhukumu kwa wakati wake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom