Mwenzio akinyolewa ...tabia mbaya!!!

hata mimi ningechukua 0 zangu lakini mwenzetu kagoma eti wamechuma wote mali,sasa wamechuma hali ni hiyo wangepanda je ingekuaje?,mimi hoi best

hapo umenimaliza....kwani mkichuma ndio uteseke maishani kisa kuchuna, vunjeni vipande kila mtu ashike lake jamani.
 
hayo maneno sio mambo yale ya ''nampenda mke wangu mbayaaaaaaaaaaa'' sijui nani tena yule alieingiza post ile anampendamkewe huku anamsaliti watu hupendana mpaka kujenga uadui na watu chezea.............
 
na unaambiwa wana miezi kama 9 wanaishi ki-baba paroko sijui awekwa na nini sasa hapana elewa mpaka sasa?,mimi ningempasua p**b* zake kwanza halafu ndio nikasepa kwani naamini ndio zinazompa jeuri nyambafffffffffffffff.

Umenichekesha sana!
Hivi siyo vitu vya kuviweka akilini na kujaza memory bure.
 
umenichekesha sana!
Hivi siyo vitu vya kuviweka akilini na kujaza memory bure.

pamoja na hayo mambo mengine yanabore bwana au utakuta mtu eti anajiua kisa kakataliwa je usingemjua?(watu wengine hovyoooooooooooo)
 
na unaambiwa wana miezi kama 9 wanaishi ki-baba paroko sijui awekwa na nini sasa hapana elewa mpaka sasa?,mimi ningempasua p**b* zake kwanza halafu ndio nikasepa kwani naamini ndio zinazompa jeuri nyambafffffffffffffff.
ha ha ha ha ha ha ha........!!!!!! hapo kwenye red, ungemtegeshea akiwa amelala sio???:A S 41::A S 41:
 
Mpaka mwanaume anadiriki kumpa kimada akupigie simu hiyo ni dharau ya hali ya juu plus kakuchoka anaona liwalo na liwe..Kama imenitokea mie sisubiri arudi nyumbani, hata niwe na watoto vinginevyo damu itamwagika!!..
Hata kama unampenda vipi mtu,kuna wakati maudhi na hizo dharau zinazidi hivyo mwenyewe unanawa mikoni na kusonga mbele na maisha yako..
 
Maisha haya bwana sijui yakoje, ukizisaka mali kabla ya kuolewa, wanaume hawatangazi nia, mkizisaka wote manyanyaso kibao, sijui kipi bora
 
Kama ndoa mlilazimisha haya ni matokeo...Wanawake mkumbo unawaponza..eti fulani kaolewa na mimi niolewe chunguza kwa makini upate kumjua mtu wako sio yakikufika unaanza kulia mwenyewe.. ndoa ni mtihani mkubwa.
 
ukiona men anafanya hivi ujue keshamsoma mkewe na anajua kabisa hawezi kufight naye, akifahamu mkewe ni mkorofi kama pwent anazomwagaga Nyamayao hapa jamvini! sidhani kama atadhubutu!
 
hapo umenimaliza....kwani mkichuma ndio uteseke maishani kisa kuchuna, vunjeni vipande kila mtu ashike lake jamani.

mie ntakwambia dearest kuna wanawake wala siwafahamu sijui wanajiona wamekosa kitu gani... kama mali mmechuma wote na watoto mmezaa...kwanini huwezi pigania kitu chako na haki yako? mwanamke utakuwa na haki yako na watoto na haki zao..basi huyu baba apewe tuu kipande chake aendezake na upuuzi wake!!!

kuna mwanamke mie namjua nayeye hivyo hivyo anadhalilishwa na mwanaume..mwanaume kaoa mke wa pili halafu kamleta mke wake humo humo ndani... basi yeye kabaki kulia tuu hawezi kuondoka kwa sababu ya watoto... kaomba talaka mwanaume anamwambia ntakuacha lakini usichukue mtoto wala mmoja... sijui kitu gani kinamfanya asimtwange huyo mwanamke na kumtoa ndani!!! wala sifahamu mie jamani wanawake wengine sijui vipi...
 
haaa yaani awaache watoto wake walelewe na huyo mwanamke mwingine kama vile yeye kafa vile khaaa, angalia maajabu ya cc wanawake, sasa huyo kuhamia ndani na mwenzie yupo anafikiria nn jamani?yaani jamani wanawake cc bac tu tuna roho ngumu sana....mie nasemaje mwanamke mwenzangu acfikirie kunifanyia upuuzi labda msukuma a support vinginevyo haaa ndio itakuwa cku yake ya mwisho kuwa na raha maishani...halafu huyo anateseka kwa kusubiria karatasi(talaka)? jamani kuna vitu vinaudhi kweli huelewi akili ya mtu ipo wapi...yaani nasubiria karatac kama ndio mtaji wa kwenda kuanzia maisha mapya....bwana wewee mie cjui kabisa.
 
ukiona men anafanya hivi ujue keshamsoma mkewe na anajua kabisa hawezi kufight naye, akifahamu mkewe ni mkorofi kama pwent anazomwagaga Nyamayao hapa jamvini! sidhani kama atadhubutu!

mwanaume anakusoma kuanzia cku ya kwanza mlipokutana, sasa wewe jiweke ki imani imani ambayo ni ya ku pretend ili afikie malengo baadae kakuweka ndani unaonyesha makucha yako yeye anaona umebadilika cjui mwanzoni hukuwa hivyo, kumbe uli pretend tu wengine kuanzia cku ya kwanza walijua wanaoa vichaa wenzao bac lyfe linasonga.
 
haaa yaani awaache watoto wake walelewe na huyo mwanamke mwingine kama vile yeye kafa vile khaaa, angalia maajabu ya cc wanawake, sasa huyo kuhamia ndani na mwenzie yupo anafikiria nn jamani?yaani jamani wanawake cc bac tu tuna roho ngumu sana....mie nasemaje mwanamke mwenzangu acfikirie kunifanyia upuuzi labda msukuma a support vinginevyo haaa ndio itakuwa cku yake ya mwisho kuwa na raha maishani...halafu huyo anateseka kwa kusubiria karatasi(talaka)? jamani kuna vitu vinaudhi kweli huelewi akili ya mtu ipo wapi...yaani nasubiria karatac kama ndio mtaji wa kwenda kuanzia maisha mapya....bwana wewee mie cjui kabisa.
mie mwenyewe nashangaa yule mwanamke kafungiwa chumbani wala hatoki...sijuu huyo baba kam okota wapi mpaka akubali kufungiwa....ila huyu baba anamsupport si ndio kamleta yeye... yani kama umeyasikia maneno yangu dearest...mie nimemwambia hayo hayo maneno achana na karatasi...pigania haki zako na haki za watoto wako....
 
mwanaume anakusoma kuanzia cku ya kwanza mlipokutana, sasa wewe jiweke ki imani imani ambayo ni ya ku pretend ili afikie malengo baadae kakuweka ndani unaonyesha makucha yako yeye anaona umebadilika cjui mwanzoni hukuwa hivyo, kumbe uli pretend tu wengine kuanzia cku ya kwanza walijua wanaoa vichaa wenzao bac lyfe linasonga.
I second that!!! yani mwanaume anakusoma na kukujaribu kuanzia mnapokutana... huyu ndugu yanu mie alikuwa na kazi nzuri sana huwezi kuamni mwanaume alivyokuwa anataka kum owa alivyo kuwa anabembeleza... ..lakini alivyo muoa akamdanganya nini sijui mwanamke akaacha kazi akaanza kuzaa na kulea...sasa ndio mwisho wako huo...kumletea mwanamke ndani ya nyumba yake!!! yani mie mpaka nakosa raha nam hurumia huyu cousin...
 
hayo maneno sio mambo yale ya ''nampenda mke wangu mbayaaaaaaaaaaa'' sijui nani tena yule alieingiza post ile anampendamkewe huku anamsaliti watu hupendana mpaka kujenga uadui na watu chezea.............

NI MIMI..NA NARUDIA TENA..NAMPENDA MKE WANGU MPAKA NAJIHISI KIZUNGUZUNGU KWA KUMPENDA...ila... Nyumba ndogo HAZIEPUKIKI...na heshma kwa my wife mwanzo mwisho...hata siku moja wife hatakiwi kuhisi tu kuwa nina NYUMBA NDOGO...na ikatokea amehisi..basi MARA MOJAAA...napiga chini small house na kurudi KUIMARISHA big house
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom