Mwenzio akinyolewa ...tabia mbaya!!!

mie mwenyewe nashangaa yule mwanamke kafungiwa chumbani wala hatoki...sijuu huyo baba kam okota wapi mpaka akubali kufungiwa....ila huyu baba anamsupport si ndio kamleta yeye... yani kama umeyasikia maneno yangu dearest...mie nimemwambia hayo hayo maneno achana na karatasi...pigania haki zako na haki za watoto wako....

heee hivi baadhi ya binadamu wanaishije jamani, lyfe style nyingine ni kituko haswaa, sasa unaacha uhuru wako unakuja kufungiwa ndani kama mfugo? watuwanayaweza, huyo mke na yeye ana tatizo, huo mlango ni wa chuma hauvunjiki ukamvunja mtu kiuno?.....kuna wanaume wanapata wanawake wa kuwachezea jamani.
 
I second that!!! yani mwanaume anakusoma na kukujaribu kuanzia mnapokutana... huyu ndugu yanu mie alikuwa na kazi nzuri sana huwezi kuamni mwanaume alivyokuwa anataka kum owa alivyo kuwa anabembeleza... ..lakini alivyo muoa akamdanganya nini sijui mwanamke akaacha kazi akaanza kuzaa na kulea...sasa ndio mwisho wako huo...kumletea mwanamke ndani ya nyumba yake!!! yani mie mpaka nakosa raha nam hurumia huyu cousin...

huyu cousin hana ndugu wa karibu wa kwenda kumtoa humu? maisha gani hayo jamani, hivi kuna watu wakishaolewa ndio maisha yao yanabadilika kwa kiac hki, kiac cha kwamba anaona hawezi kuishi bila hiyo ndoa yaani hawezi kuishi bila huyo mwanaume? hapana......
 
eee !Malisak mwambie huyo mdada aache ujinga, asimame kama mwanamke kweli, atetee ndoa yake, ndoa yenyewe bado changa 9month from baba paroko alafu kidume kimeshaanza kumpambanisha na hawara yake??? kweli hii ni balaa huyo mwanaume hana aya kabisa.

midume nayo inaangalia sehemu ya kufanya ufedhuli wao,shen****** type.
 
Ila wanaume wengine wana tabia mbaya, sasa ukikuta mke sio mvumilivu na umemfanyia hayo mambo unaweza kukuta kateketeza nyumba yote including yeye na watoto!
 
heee hivi baadhi ya binadamu wanaishije jamani, lyfe style nyingine ni kituko haswaa, sasa unaacha uhuru wako unakuja kufungiwa ndani kama mfugo? watuwanayaweza, huyo mke na yeye ana tatizo, huo mlango ni wa chuma hauvunjiki ukamvunja mtu kiuno?.....kuna wanaume wanapata wanawake wa kuwachezea jamani.

hapo sasa mie sipati picha, huyo binti nae anaonyesha anaendekeza ujinga.
 
eee !Malisak mwambie huyo mdada aache ujinga, asimame kama mwanamke kweli, atetee ndoa yake, ndoa yenyewe bado changa 9month from baba paroko alafu kidume kimeshaanza kumpambanisha na hawara yake??? kweli hii ni balaa huyo mwanaume hana aya kabisa.

midume nayo inaangalia sehemu ya kufanya ufedhuli wao
,shen****** type.

ndio hap mie nasema, wanaangalia mtu na mtu wa kumfanyia upuuzi na anajua hata akufanyie nini utabanana nae kwa ajili cjui ya watoto cjui tumechuma mali wote, ni muda umefika sasa wadada tujitambue jamani, mambo ya kunyanyacka yameshapitwa na wakati kabisa.
 
:mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2: i feel like nataka kupasuka. till when hawa majanadume yasiyo na ukomo yataacha huu ufedhuli.
na hawa vijianajike ambavyo tamaa zao za ngono ni kwa waume wa ndoa za wengine watakoma lini?/

sometimes ago kuna kimada aliwekewa pilipili kunako eneo la tukio kwa kujifanya yeye ndo first lady kwenye ndoa ya mwenzake.wako wanaomwagiwa acid ila huawakomi, sijui ndo mapepo hayo............ mh kazi ipo.

rafiki angu yeye alichapa mwendo na sasa mumewe anamtafuta manake kimada kamshindwa tena. na ndo kashamtangazia nia ya kutorudi tena
kidume kadata na nyumba kauza maana demands za kimada ni juu. saivi kadataaaaa
 
ndio hap mie nasema, wanaangalia mtu na mtu wa kumfanyia upuuzi na anajua hata akufanyie nini utabanana nae kwa ajili cjui ya watoto cjui tumechuma mali wote, ni muda umefika sasa wadada tujitambue jamani, mambo ya kunyanyacka yameshapitwa na wakati kabisa.

hii kitu mama anateseka kwenye ndoa sababu ya watoto/ mali haina maana kabisa, kwani hakuna sheria?????? mali zitagawanywa, watoto wangu nitasepa nao wakiwa wakubwa watamtafuta baba yao, unapoishi kwa mateso, mwisho wa siku unapotesa kl, unachakaa, unatangulia kwenye haki, watoto wanaanza kuteseka kwa kwenda mbele, lidume linaendelea kupeta na kimada.
 
:mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2: i feel like nataka kupasuka. till when hawa majanadume yasiyo na ukomo yataacha huu ufedhuli.
na hawa vijianajike ambavyo tamaa zao za ngono ni kwa waume wa ndoa za wengine watakoma lini?/

sometimes ago kuna kimada aliwekewa pilipili kunako eneo la tukio kwa kujifanya yeye ndo first lady kwenye ndoa ya mwenzake.wako wanaomwagiwa acid ila huawakomi, sijui ndo mapepo hayo............ mh kazi ipo.

rafiki angu yeye alichapa mwendo na sasa mumewe anamtafuta manake kimada kamshindwa tena. na ndo kashamtangazia nia ya kutorudi tena
kidume kadata na nyumba kauza maana demands za kimada ni juu. saivi kadataaaa
a

halafu wanaume wengi waliocha wake zao wote wanaishiliaga pabaya, cjui kwanini na matokeo yake wanataka kurudi kwa wake zao yakiwashinda huko...jamani.
 
hii kitu mama anateseka kwenye ndoa sababu ya watoto/ mali haina maana kabisa, kwani hakuna sheria?????? mali zitagawanywa, watoto wangu nitasepa nao wakiwa wakubwa watamtafuta baba yao, unapoishi kwa mateso, mwisho wa siku unapotesa kl, unachakaa, unatangulia kwenye haki, watoto wanaanza kuteseka kwa kwenda mbele, lidume linaendelea kupeta na kimada.

kabla hajaanua tanga kashaoa.....
 
hahahahah i like t!! kumpasua injinia zake then wasepa!!!!!!!!

life is too shot y ukubali kibinadamu chenzako kiaribu raha ya maisha???
ukiona mafyongo we sepa
 
Kwa wale waliosoma agricultural kunakitu inaitwa Budizzo ndio suluhisho hapa
 
Siku huyo mtafuta kimada akinifanyia hivo ,.... sitaki kuongea lolote ...tuweni na huruma kwa wenza wetu
 
baadae uanletewa kibustani ndani kwako... afu mume anam-mamba kitandani kwenu nawe wasikilia sebuleni!!!
 
mke anapika chakula kizuuuuuri... che sumu ya kutosha... anajifyeka yeye, watoto na hilo dume!!
 
Siyo kila mwanaume anayetoka nje ya ndoa anapenda kufanya hivyo, wengine na baada ya wake zao kuanza kuthamini watoto zaidi ya mume, heshima kwa mwanaume kuanza kupungua baada ya kuishi nae miaka kadhaa, mwanamke wa nyumbani kupunguza kujimake kwa sababu ya ubize na watoto, kauli za mwanake wa ndani kutokuwa nzuri kwa kisingizio cha uchovu mwingi pia kuapply gender equality ndani ya familia bila mipaka vinamkoshesha mwanume furaha anayoitafuta na kimada inakuwa option.

Wanawake mlioolewa tafuteni strategies za kuwafanya waume zenu wajisikie vibaya kutafuta kimada waziwazi kwa namna mnavyowaheshimu
 
......duuuu hii sredi wabeijingi naona wanapiga ku-nfu utadhani wapo Bagdad bana? kila aliyechangia ameonyesha machungu as if yameshamkuta!

BWT: Hao wanaume wanafanya ushenzi huo na ''wabeijing'' sio na midume, na wabeijing hao wanakuwa wakijua kabisa wanaume hao wana wake zao........! hao wabeijing wangekuwa na uchungu mnao onyesha hapa wangekuwa chachu ya mabadiliko....lakini utashangaa hao ndio chanzo cha yote.......! so to me wabeijing in most cases ndio wakulaumiwa haswaaaaa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom