Dawa ya tabia Mbaya

Jan 13, 2018
38
60
Tabia za Mwanadamu inajengwa na watu wanaomzunguka kama vile wazazi /walezi, majirani, walimu, dini etc

Mara nyingi tabia Mbaya ni rahisi kuingia kwa MTU lakini sio raisi kuiondoa mfano ulevi, matumizi ya dawa za kulevya, ushoga, umalaya na tabia kama hizo.

Na tabia hizo mara nyingi tunazipokea kutoka kwa wazazi wetu tuna rithi tabia Mbaya kutoka kwa wazee wetu Rom 5:14 Biblia inasema kosa alifanya Adamu pamoja na mkewe wakapewa adhabu, adhabu ambayo Mimi na wewe tunaitumikia wala hatukuwepo Adamu alipokosana na Mungu ila kwakuwa tu watoto wake tuna rithi adhabu ya kosa la Adamu umeona hiyo?

Fanya utafiti angalia mtaani kwenu au jitathimini kwenye familia yenu angalia Tabia zenu utaona katika hizo Tabia kuna mmoja miongoni mwenu alikuwa nazo anaweza kuwa baba, babu ,Bibi, mjomba au shangazi etc

Ukisoma habari za Daudi, Daudi alitembea na mke wa MTU kwa kificho lakini tunaona watoto wake Daudi walikuja kutembea na Mke wa Daudi pia baadhi ya watoto wake walifanya uzinzi ndugu kwa ndugu soma 2 Sam 11:1_5, 2Sam 13:1-7 na 2 Sam 16:22_22

Nanyi mfahamu kwamba mlikombolewa si kwa vitu viharibikavyo, kwa fedha au dhahabu; mpate kutoka katika mwenendo wenu usiofaa mlioupokea kwa baba zenu;
1 Petro 1:18.

Ukisoma unaona kabsa Damu ya Yesu pekee inao uhalali wa kuondoa Tabia Mbaya au mwenendo Mbaya kutoka kwa Mwanadamu, Mimi pia ni shuhuda wa kile Yesu alichofanya ktk Maisha yangu kabla ya Yesu nilikuwa MTU wa Tabia Mbaya ni miaka 12 SASA tangu kuokoka sijaona hasara kumjua Yesu

Ndugu tangu ambaye unahangaika na Tabia Mbaya au matendo Mabaya mpe Leo Yesu Maisha yako utatuadithia nini kimetokea

Sema maneno Aya Ee Bwana Yesu nakuha mbele zako Mimi Mwenye dhambi Nina amini ulikufa msalabani kwa ajili ya dhambi zetu ili Mimi nisiwe mtumwa wa dhambi tena karibu ndani yangu unifanye kuwa kiumbe kipya asante Bwana Yesu kwa Kufa kwa ajili yangu Amina.

Mungu akibariki sana MTU wa Mungu nakutakia Maisha mema ndani ya Kristo karibu katika ufalme wa Bwana Yesu.
 
Amen
 
Unataka kunambia kama kaka mvuta unga basi baba au mmoja wa ndugu wengine waliwahi kuvuta unga?

Huo ni uongo!! uongo bhanaaa!!!
 
Back
Top Bottom