Mwenzenu nusu nitembee na kaka yangu

Mwenzenu nusu nitembee na kaka yangu

Hope u all fine.

Jaman wana MMU yamenikuta mwenzenu, juzi siku ya Nyerere day kulikua na event nyumbani, wakaja ndugu na jamaa, sasa kuna cousin yang ambaye tulishakutanaga siku za nyuma kwenye harusi ya kaka yetu mmoja hivi tukajikuta tunashangaana, upande wangu I was like woow! I met a man of my dream, nilimpenda kwa ufupi, after asking my sister ndo akaja niambia he is ur cousin.

Basi tukawa marafiki tu na ndugu ofcoz, sasa hii juzi alivyokuja tukawa pamoja kwa mda mrefu sana! it was my father's birthday tukawa tunahudumia vinywaji pamoja mpaka event ilivyoisha, nyumbani kuna kisehemu kimejificha ndani ya garden, kuna yale maua marefu so si rahisi mtu kukuona kwa usiku, nikabeba bia zangu za kutosha nikaenda kukaa pale.

Sijui aliniona au vipi nae akaja! hapo wazee wapo ndani wanapiga stori zao, basi tumekaa tunakunywa pale na stori tukajikuta tunakiss, sio siri jaman! I wish he wasn't my cousin, bahat nzuri hatukufanya chochote kingine, just touching en kissing nikajifanya nimeshtuka nkaondoka nikaingia ndani.

Sasa toka hiyo juzi ananipigia nashindwa kupokea wala kujibu msg zake! najifikiria nitaanzaje kumuangalia tukionana, japo yeye ameniomba msamaha kwa text na kusema it just a feelngs he has for me ndo mana imetokea hivyo, na the first day ameniona amenambia yale yale nilokua namfikiria mimi.

Si kwamba sikutaka itokee! ofcoz na mimi nampenda, ila kwa hii loneliness niliyokua nayo nahisi tutaelekea pabaya na ananambia nisipoongea nae about this atamwambia my sister how much he luv me na ikiwezekana my mom, yuko tayari aonekane chizi.

Nifanyeje jamani.
Unavyojieleza hapa,unaonyesha mna maisha mazuri sana kwenu! Me sina cha kuchangia kwenye story yako. Lkn nataka kukushauri tu haya maisha unayoyaeleza hapa ni vizuri uwe ndo unayaishi,km sivyo ipo siku itakuja kuumbuka! Usifikiri kutumia fake I'd ni njia kujificha!
 
ila endeleeni tu mm.mwenyewe nimemaliza binamu zangu wooooooooteeeeeee

dash we mkali,mi nimemkosa mmoja mpaka sasaivi roho ajitulia,ILA kiroho saafi nimeamua nimuoe ndugu yake mwingine.ila binadamu Sana wivu saana
 
Hope u all fine.

Jaman wana MMU yamenikuta mwenzenu, juzi siku ya Nyerere day kulikua na event nyumbani, wakaja ndugu na jamaa, sasa kuna cousin yang ambaye tulishakutanaga siku za nyuma kwenye harusi ya kaka yetu mmoja hivi tukajikuta tunashangaana, upande wangu I was like woow! I met a man of my dream, nilimpenda kwa ufupi, after asking my sister ndo akaja niambia he is ur cousin.

Basi tukawa marafiki tu na ndugu ofcoz, sasa hii juzi alivyokuja tukawa pamoja kwa mda mrefu sana! it was my father's birthday tukawa tunahudumia vinywaji pamoja mpaka event ilivyoisha, nyumbani kuna kisehemu kimejificha ndani ya garden, kuna yale maua marefu so si rahisi mtu kukuona kwa usiku, nikabeba bia zangu za kutosha nikaenda kukaa pale.

Sijui aliniona au vipi nae akaja! hapo wazee wapo ndani wanapiga stori zao, basi tumekaa tunakunywa pale na stori tukajikuta tunakiss, sio siri jaman! I wish he wasn't my cousin, bahat nzuri hatukufanya chochote kingine, just touching en kissing nikajifanya nimeshtuka nkaondoka nikaingia ndani.

Sasa toka hiyo juzi ananipigia nashindwa kupokea wala kujibu msg zake! najifikiria nitaanzaje kumuangalia tukionana, japo yeye ameniomba msamaha kwa text na kusema it just a feelngs he has for me ndo mana imetokea hivyo, na the first day ameniona amenambia yale yale nilokua namfikiria mimi.

Si kwamba sikutaka itokee! ofcoz na mimi nampenda, ila kwa hii loneliness niliyokua nayo nahisi tutaelekea pabaya na ananambia nisipoongea nae about this atamwambia my sister how much he luv me na ikiwezekana my mom, yuko tayari aonekane chizi.

Nifanyeje jamani.
sio vibaya kumpa binamu kwa siku moja,
 
binamu mbona nyama ya hamu hio hata wazee wazamani walishasema au unaelewa vipi kauli hii
 
nop, is nat about papuchi, ye anachotaka tuwe kama zamani, kwamba nothing happened. hilo sikatai, ila nataka nipunguze mawasiliano nae, au niache kabisa coz kuna mdog wake anashikaga sim yake akakuta msg akamuonyesha mama ake! so is like washaanza kujua ndugu, na mi sitaki kuwekwa kwenye vikao vya kijinga ndo nawaomben ushauri...

Basi kama humtaki na hutaki uwekwe kwenye vikao vya kijinga, tafuta mtu mwingine, at least make him known to some few relatives then iondoe hiyo habari.
 
Umri wako?
Shule umemaliza?
Atakukula tu huyo...
Kuhusu dawa ya lonelinesses niPM nikuambie kitu....
 
Mimi huwa naamini sikuzote mtu anapoomba ushauri hata yy binafsi huwa tayali huwa analo ambalo analifikil tena huwa ninamba1 kulifanya japo yupo tayali kuomba ushauri hivyo naamin kama ww umeamua kutoa mzigo utatoatu hatatukishaur usifanye hivyo na pia kama umeakutotoa hautotoa hata kama tutakushaur utoe,mimi binafsi nakushauri usimpe japo naamin nawepia unamtazamo wako.
 
Hujafunzwa adabu. Kaa na mama yako akufunze mahusiano na ndugu zako wa karibu. How to go about???
 
Unavyojieleza hapa,unaonyesha mna maisha mazuri sana kwenu! Me sina cha kuchangia kwenye story yako. Lkn nataka kukushauri tu haya maisha unayoyaeleza hapa ni vizuri uwe ndo unayaishi,km sivyo ipo siku itakuja kuumbuka! Usifikiri kutumia fake I'd ni njia kujificha!
Hahaaa ...
 
nop, is nat about papuchi, ye anachotaka tuwe kama zamani, kwamba nothing happened. hilo sikatai, ila nataka nipunguze mawasiliano nae, au niache kabisa coz kuna mdog wake anashikaga sim yake akakuta msg akamuonyesha mama ake! so is like washaanza kujua ndugu, na mi sitaki kuwekwa kwenye vikao vya kijinga ndo nawaomben ushauri...

Samahani una umri gani... ivi kumbe kuna watu majuh*a ivi!?
 
Tangu lini ndugu wa jinsia tofauti wanatomasana na kupigana mabusu?
mi naona kwa kuwa mlianza kama mbuzi malizieni kama mbuzi ndo huwa hawana aibu.
 
huyo alikua kaka binam mwingine nae! kwetu npo peke ang ndugu! hata huyo sister sio tumbo moja! if u r interest to knw me bettr ni PM sio kuleta longo longo!

Sasa ushauri wangu wa maana kuwa na kaka sio vizuri nichukue mimi kwani niko lonely kama wewe.
 
Back
Top Bottom