Mwenzenu nusu nitembee na kaka yangu

Mwenzenu nusu nitembee na kaka yangu

Hope u all fine.

Jaman wana MMU yamenikuta mwenzenu, juzi siku ya Nyerere day kulikua na event nyumbani, wakaja ndugu na jamaa, sasa kuna cousin yang ambaye tulishakutanaga siku za nyuma kwenye harusi ya kaka yetu mmoja hivi tukajikuta tunashangaana, upande wangu I was like woow! I met a man of my dream, nilimpenda kwa ufupi, after asking my sister ndo akaja niambia he is ur cousin.

Basi tukawa marafiki tu na ndugu ofcoz, sasa hii juzi alivyokuja tukawa pamoja kwa mda mrefu sana! it was my father's birthday tukawa tunahudumia vinywaji pamoja mpaka event ilivyoisha, nyumbani kuna kisehemu kimejificha ndani ya garden, kuna yale maua marefu so si rahisi mtu kukuona kwa usiku, nikabeba bia zangu za kutosha nikaenda kukaa pale.

Sijui aliniona au vipi nae akaja! hapo wazee wapo ndani wanapiga stori zao, basi tumekaa tunakunywa pale na stori tukajikuta tunakiss, sio siri jaman! I wish he wasn't my cousin, bahat nzuri hatukufanya chochote kingine, just touching en kissing nikajifanya nimeshtuka nkaondoka nikaingia ndani.

Sasa toka hiyo juzi ananipigia nashindwa kupokea wala kujibu msg zake! najifikiria nitaanzaje kumuangalia tukionana, japo yeye ameniomba msamaha kwa text na kusema it just a feelngs he has for me ndo mana imetokea hivyo, na the first day ameniona amenambia yale yale nilokua namfikiria mimi.

Si kwamba sikutaka itokee! ofcoz na mimi nampenda, ila kwa hii loneliness niliyokua nayo nahisi tutaelekea pabaya na ananambia nisipoongea nae about this atamwambia my sister how much he luv me na ikiwezekana my mom, yuko tayari aonekane chizi.

Nifanyeje jamani.
Ha ha ha kwa simulizi hii mjanja atagundua majalada yashafumuliwa tayari kwenye maua, kinachoulizwa hapa ni uhalali wa je naweza weka wazi, only that. Ile kitu siyo ya maigizo hizo dakika unazosema mchezo uliisha zamani, labda ulizimia ukadhani hamkufanya kumbe mtu ashamaliza kitambooooooo. Any way kuiba sio mbaya ila kuhalalisha mtaboa
 
Watu siku hizi wanatafuta justification ya wrong acts. I mean kama kitu fulani ni wrong, its supposed to be like that always.

When deep inside you feel its wrong, dont you ever try that again.

Stop trying to justify your bizzare feelings.

Remember, its not always that we should satisfy whatever we feel. If it were like that, then the world would be far different.

Choose Wisely
 
Badilsheni muwe Waarabu ,wao wanakulana ndai kwan dani hawataki kugawa uroda nje ya familia
nop, is nat about papuchi, ye anachotaka tuwe kama zamani, kwamba nothing happened. hilo sikatai, ila nataka nipunguze mawasiliano nae, au niache kabisa coz kuna mdog wake anashikaga sim yake akakuta msg akamuonyesha mama ake! so is like washaanza kujua ndugu, na mi sitaki kuwekwa kwenye vikao vya kijinga ndo nawaomben ushauri...
 
Kwa ulichoandika hapa basi, sheria za Nchi zote zibadilishwe ili angalau mnayotaka yawe tena rahisi.
 
hiyo ngumu aisee... kwa sasa mtasema ilikuwa sio issue ila baadae mkiwa alone tena
 
ila endeleeni tu mm.mwenyewe nimemaliza binamu zangu wooooooooteeeeeee
 
mpe tu coz tayari mnapendana...but tegemea aibu baadaye
 
Hope u all fine.

Jaman wana MMU yamenikuta mwenzenu, juzi siku ya Nyerere day kulikua na event nyumbani, wakaja ndugu na jamaa, sasa kuna cousin yang ambaye tulishakutanaga siku za nyuma kwenye harusi ya kaka yetu mmoja hivi tukajikuta tunashangaana, upande wangu I was like woow! I met a man of my dream, nilimpenda kwa ufupi, after asking my sister ndo akaja niambia he is ur cousin.

Basi tukawa marafiki tu na ndugu ofcoz, sasa hii juzi alivyokuja tukawa pamoja kwa mda mrefu sana! it was my father's birthday tukawa tunahudumia vinywaji pamoja mpaka event ilivyoisha, nyumbani kuna kisehemu kimejificha ndani ya garden, kuna yale maua marefu so si rahisi mtu kukuona kwa usiku, nikabeba bia zangu za kutosha nikaenda kukaa pale.

Sijui aliniona au vipi nae akaja! hapo wazee wapo ndani wanapiga stori zao, basi tumekaa tunakunywa pale na stori tukajikuta tunakiss, sio siri jaman! I wish he wasn't my cousin, bahat nzuri hatukufanya chochote kingine, just touching en kissing nikajifanya nimeshtuka nkaondoka nikaingia ndani.

Sasa toka hiyo juzi ananipigia nashindwa kupokea wala kujibu msg zake! najifikiria nitaanzaje kumuangalia tukionana, japo yeye ameniomba msamaha kwa text na kusema it just a feelngs he has for me ndo mana imetokea hivyo, na the first day ameniona amenambia yale yale nilokua namfikiria mimi.

Si kwamba sikutaka itokee! ofcoz na mimi nampenda, ila kwa hii loneliness niliyokua nayo nahisi tutaelekea pabaya na ananambia nisipoongea nae about this atamwambia my sister how much he luv me na ikiwezekana my mom, yuko tayari aonekane chizi.

Nifanyeje jamani.

Wee na wee umeingia vibaya jf.. Sasa hivi utaomba ushaurini unataka kutembea na mbwa wako.. Post zako nyingi za kutunga.. Aaaarrrrrgggghhh
 
Back
Top Bottom