kawaida kwa mwanamke....
Hii ndiyo raha ya JF!
kawaida kwa mwanamke....
Hizi ndizo baadhi ya sred zako ambazo hata mwezi haujesha, jipime:
unadai katika sredi ile:yah huyo ni ex boy wangu! na cdhan kama inaingiliana na hili
Huku ukisema huna kaka!!!!! Ukiwa mwongo usiwe msahaulifu. Ref: https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/728696-nahisi-bado-nampenda.htmlHabari zenu jamani, mimi ni mgeni kidogo humu, sina muda sana. Nilikuwa napitia tu maongezi na comment za watu na nikavutiwa kujiunga, anyway turudi kwenye point ilionileta hapa.
Nlikua nina mpenzi wangu ambaye alikua workmate wa kaka yangu, akatokea kunipenda na mimi nikampenda tukaanza mahusiano hapo. ......
binamu haina noma mpe mamboMpe vyombo atumbuize kwani kitu gani bana
Kumbe ni mtu,, wa vituko tu.!!! ukibahatisha kupatia na kuzikamilisha namba hz, ujue mimi ndiye nimeubwa kwa ajili yako
07585736--