Mwenzenu nusu nitembee na kaka yangu

Mwenzenu nusu nitembee na kaka yangu

Wewe hujawaona vijana wote wanaoomba uchumba hapa????
 
Hujawahi mtamani kakako wa damu? Shibe inawasumbua.
 
This is a piece of cake,

a) kubali

b) kataa komaa na msimamo wako.

ofcoz ni B, ila nahis kama hamjaelewa hapa, si kwamba anataka tuendelee no! ana feel guilt kwa alchokfanya na ili acjione hvyo ndo anataka tuongee then tuwe normal kama tulvyokua mwanzo, na mim sitaki kuonana nae, na wala sihitaj mawasiliano nae....
 
Watu mna roho ngumu jaman! Yani umeshaambiwa ni cousin lakini bado tu mkalana mate na unaomba ridhaa ukamvulie kyupi! Au ndo binam nyama ya hamu! Hilo pepo tamaa lishindwe.

Katika jina la YESU na wote tuseme amin!
 
wasiliana na mimi basi maana nipo single halafu natafuta ni pm tafwadhali
 
nop, is nat about papuchi, ye anachotaka tuwe kama zamani, kwamba nothing happened. hilo sikatai, ila nataka nipunguze mawasiliano nae, au niache kabisa coz kuna mdog wake anashikaga sim yake akakuta msg akamuonyesha mama ake! so is like washaanza kujua ndugu, na mi sitaki kuwekwa kwenye vikao vya kijinga ndo nawaomben ushauri...
Umalaya
 
ofcoz ni B, ila nahis kama hamjaelewa hapa, si kwamba anataka tuendelee no! ana feel guilt kwa alchokfanya na ili acjione hvyo ndo anataka tuongee then tuwe normal kama tulvyokua mwanzo, na mim sitaki kuonana nae, na wala sihitaj mawasiliano nae....
Hivi unamsemea mwanaume. Kalagabaho, anataka muonane umpe utamu!!!!Mpaka mnakiss ni kuwa anataka tunda full stop
 
Unataka ushauri gani wakati umesha ona ulicho Fanya ni kinyume na maadili?
 
nigekuwa mimi kaka yako, lazma ungekipata cha mtema kunu, silembi hata siku moja, yaani mzingo kabsa unataka mambos uache mmmh, hapana siwezi

na huyo ndgu yako ana matatizo cyo mzima!
 
Back
Top Bottom