mwenzenu nimefiwa

Assalamu Alaikum
Admins, Moderators na members wote
wa Jamiiforums
Kwa masikitiko makubwa nawataarifu
msiba wa baba yangu aliyefarik leo mchana msiba upo tanga makorola mi nipo iringa najichanga changa muda huu nianza safari nipate kuwahi mazishi hapo kesho kama mwenyezi mungu akisaidia mazishi ni saa 4 asubuh katika makaburi ya msambweni.
Pole sana mkuu,nina wadogo zangu flat za Bandari pale karibu nitawaambia wahudhulie mazishi mkuu.Pole tena mkuu
 
nawashukuru nyote kwa faraja na maombi yenu tumefika salama na leo tumezika kama ratiba ilivyopangwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom