Ruhazwe JR
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 3,402
- 944
Nasikitika kuwataarifu wana cc kuwa Bibi yangu kizaa Baba amefariki leo.Bibi ambaye alikua na umri mkubwa unaotazamiwa takribani mwiaka ipatayo 80 amefariki kwa uzee katika kipindi ambacho bado tunamuitaji,ilikua ni kawaida yake kwa kila tuendapo likizo alipenda kutuambia kuwa "nadhani hamta nikuta".Sisi tulimpenda lakini Mungu amempenda zaidi.R.I.P BIBI YANGU KIPENZI.
Nani kakudanganya kaburi ni nyumba ya milele?we hujasikia kwamba kuna ufufuo?anyway RIP bibi yetu.Pole sana X-husband.
Mungu atawajalia na mtampumzisha salama ktk nyumba yake ya milele.
R.I.P bibi yake Ruhazwe.
Pole sana X-husband.
Mungu atawajalia na mtampumzisha salama ktk nyumba yake ya milele.
R.I.P bibi yake Ruhazwe.
Nani kakudanganya kaburi ni nyumba ya milele?we hujasikia kwamba kuna ufufuo?anyway RIP bibi yetu.
Kumbe eh? Ahaa! RIP bibi yetu. Katangulia nasi tutamfuata. Hamna jinsi.
Ok ok,twende kazi,wewe unafikiri kwa nini kaburini iwe nyumba ya milele?kama biblia inasema haijulikani siku wala saa,then vipi umeishi 20yrs duniani kisha ukafa na ukizikwa leo alafu kesho ukafufuliwa wapi patatakiwa kuitwa nyumba ya milele?Duniani au kaburini?pls respond asap ili nipate elimu,na kama inawezekana nitwange na andiko.Kila mtu anao uhuru wa kuamini ktk imani yake.
Nawe unaruhusiwa kuamini ktk imani yako.
Imani yangu mimi isikuzuie kuamini imani yako mkuu.
Ufufuo ni matokeo.
Kwani hata hao waliondika ktk Biblia kuwa kuna ufufuo ni Binadamu wenye nyama na mioyo kama sisi.
Japo wana utashi na wakisadikicho na kile wanachokiamini ndicho hicho wanachokiandika ili nawe ukiamini.
Kaburi litabaki kuwa nyumba ya milele kwa sababu ukiishi ktk nyumba yako duniani ukiwa hai,nyumba nyingine utakayoishi ukiwa mfu ni kaburi.
Na hutaishi mahala pengine popote.
Ufufuo ni matokeo baada ya hayo yote.
Kila mtu anao uhuru wa kuamini ktk imani yake.

Kunduchi sehemu gani? Hebu nipe mwongozo. Bajaji yangu ina pancha, haidhuru ntaweka tairi la trekta ilimradi nisikose msibani.Kumbe nini?
Kabebe wakezo mje Kunduchi msibani.