Mwenzenu Narogwa au?

Omba kwa bidii kabla ya kulala na ukiamka vilevile, hakuna mchawi wala chochote kibaya kitakachokusogelea. Unaweza kuhamia guest na kikakufata vilevile.
Trust in God utamaliza hizo wiki nne vizuri.
 
ndibalema pole sana ndugu yangu.
Ondoa hofu maana umeiweka hapa hii hoja na ni jukumu letu kusaidiana.
Awali kabisa nakushairi usihame hapo unapoishi. Ila fanya yafuatayo.

Unapoingia kulala fanya sala (sikupi maneno ya kukariri ila vigezo vya sala) kwa mtiririko ufuatao.

  1. tumia dakika mbili mpaka tano ukimwomba msamaha mungu kwa yale yote uliyoyafanya kinyume na mapenzi yake.
  2. tumia dakika tano hadi saba au zaidi kuwaombea ndugu zako walale salama, na usisahau viongozi wa nchi walindwe mwombee ulinzi na huyo mwenyeji wako.
  3. tumia dakika tano hadi kumi kuomba mungu akupe ulinzi wewe utakapopanda kitandani, kataa ndoto za kishetani, kataa kutumiwa kichawi lakini kikubwa zaidi mweleze mungu kwamba unapokuwa unakitumia chumba hicho unavunja mikataba yoyote iliyowahi kufanywa ndani ya chumba hicho na nyumba hiyo, vunja mikataba yote ya kishetani ya kichawi hata ya kihalifu.
  4. mweleze mungu kuwa unapolala atume malaika walinzi wakulinde na walinde boma.
nakwambia ukiomba kwa kuamini hakika ahsubuhi kesho utatuletea new story hapa.

Kuhusu kuchanjwa just do it ktk maombi kuvunja mkataba na chain yoote iliyoungwa ili kukuconect. Kataa kwa jina la yesu nawe utakuwa salama, zaidi ya hapo tegemea maumivu.

Nb. Utakaposema uhame, huko uendako wanakungoja hakuna pa kujificha mbele ya shetani zaidi ya kumkimbilia mungu kupitia yesu kristo

very good....
 
Wote wanaosema ahamie gesti bure kabisa .... !!

As if kinachomtokea kinakuwa diluted completely na hicho mnachokiita gesti!! Who said gest is antidote ya uchawi?

Ndebalemaaaaa? ..... Unanisikia?

Outside negative emotions .... no hypnotic influnce under the sun will ever touch you!!!

Negative emotions... ni woga, wasiwasi, shaka, chuki, kinyongo and all kind of resentiments... unatakiwa kushinda hizo hali tu...!!

Uwezo wa mwandamu kuifluence tukio kwa mwanadamu mwingine nje ya ufahamu wa victim hujulikana scientificaly as hypnosis... Inaweza kufanyika ... kwa karibu au hata in a distance... lakini lazima uwe kwenye mazingira ya hizo hisia... its all up to you...sio uanze kukimbizana na wachawi etc.....

Hypnosis is scientific... !!! Lakini nakubaliana na hao watu wa dini kwani dini zote nianvyojua ni tool ya kushindia hizo negative emotions of which kinachobakia is known as Love...yaani Love is where there is no negative emotions..its just not compatible...so kwenye upendo hypnosis cant work out au sema huko kulogwa kwako hakutakuwepo... na Upendo ndio amri kuu ya dini zote ...in either way scientific au kidini ...yote ni juu yako kushinda negative emotions...na usilaumu anything within space, time or matter ...its all about you!!!

Kwenye ujasiri na Upendo huwezi kulogwa hata usipohamia gest!! lakini hata ukiwa gest alafu ume jilegeza legeza kwa hofu woga shaka etc..utachezewa tu!! sio na wachawi tu hata kutapeliwa kirahisi na mtu yeyote ...na hasa kutapeliwa na wanasiasa...hutakuwa makini hata umpigie nani kura kati ya Kikwete na Dr Slaa... kama umenisoma k*ra yako iko kwa?..`m just jocking!!... Just conqure your wrong emotions!!! na vibweka wa kuchawi, kifedha au kisiasa utawasikia umbali wa maili laki moja..!! That is what power of love is all about!!!
 
@ Cheusi Mungu au Yesu? Maana naona kila mtu kasema Yesu sijajua nani ana nguvu zaidi kwa hao walio sema Yesu naomba nifahamishwe....

.
Kila mtu katika jamii ya wanadamu ana mungu anaemwabudu. Baadhi wanaabudu wanyama/ndege, wengine wanaabudu maumbile mfano jua mwezi/nyota nk lakini kwa hakika kunae Mungu aliye juu ya miungu wote ambae jina lake la utambulisho alilowapa binadamu ni Yesu. Jina hili limepita majina yote mbinguni na duniani. Maana yapo hayo majina mengine ya miungu kama baal, tamuzi, apolo, atemi nk. Ndio maana sasa tunasema jina la Mungu wa kweli tulilopewa binadamu kuokolewa kwalo ni jina la Yesu na Yesu pekee. Mwenye kulibeba hilo jina la Mungu yaani Yesu, siku zake alipokuwa hapa duniani aliagiza hivi 'lolote mtakalomwomba Baba kwa jina langu(Yesu) hilo nitalifanya'. Hakuna kinachoweza kusimama kinyume na jina hili kikafanikiwa.
 
Ulilala na kitabu cha dini halafu hakikukusaidia?. Nna hakika Wewe ni muumini mzuri wa dini hiyo pale unapokutwa na matatizo tu. So mungu wa dini yako hiyo amekugundua kuwa ni m~babaishaji. Haiwezekani wageni wote waliofika kusini wasiathiriwe, athari hizo upate wewe tu.
All in all wenye tabia ya kupafanya kusini mahali pa vibweka waache kuwatisha wenzao wasiowahi kutembelea huko, kwa kuwa kusini ni kama kaskazini na kwingineko. Jibu ni moja HAUJAROGWA una matatizo mengine.
 
Back
Top Bottom