Mwenzenu Mimi ni kula kulala

Mwenzenu Mimi ni kula kulala

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,048
Reaction score
61,370
Wakuu kiukweli Mimi Sina hela na ndo maana hata demu sina mwenzenu.zamani nilikuwa na mchongo wa kuuza karanga na vifaa vya simu ila nikapata matatizo fulani mtaji ukafa nikarudi nyuma.kwa Sasa Sina kazi yoyote ila maisha yanaendelea Kuna ndugu yangu mmoja ananifuga hapa kwake naishi naye kwa hio kuhusu chakula na sehemu ya kulala sio tatizo.nachohakikishaga ni nipate buku jero ya bundle ili jamiiforum isinipite maana naipenda Sana.
jana eti huyu braza ndugu yangu akaamua kunichana live akaniambia nirudi tu nyumbani kijijini kwa maza me nikamjibu siwezi kwenda kijijini huko babati manyara nitakwenda kupotea Zaid akaniambia shauri yako Mimi naangalia familia yangu nisipojiongeza nitapata taabu.kiukweli mimi siwezi kurudi mkoa kule ndo hakuna hela kabisa kuishika 5000 tu yenyewe ni msala bora hata hapa mjini dar kidogo hela ndogo ndogo za kupewa hukosi.sasa hivi hapa nilipo mfukoni Nina 2500 tu buku jero naenda kununua vocha ya tigo nijiunge Cha week buku kesho nitaenda kubet.nataka kujua Kama Kuna mwana jf mwingine mwenye Hali ya kimaisha Kama ya kwangu.
 
endelea kupewa pewa tu hela kidogo, lakini sidhani kama mpododo uko salama
Kwanini mkuu? uzuri NI kwamba Sina shida Sana na pesa kwa sababu Sina majukumu kwa hiyo Sina tamaa naiman ipo siku yangu tu na mimi nitazipata
 
Ndugu yako km ana uwezo akununulie hata bodaboda!
 
Me naona fresh tu ndg yangu… kama huna majukumu kwanini uhangaikie hela kubwa ikiwa haina matumizi nayo!!!?… tumbo moja, ya nn kutafutia shamba? Komaa na jiji kibishi…
 
Wakuu kiukweli Mimi Sina hela na ndo maana hata demu sina mwenzenu.zamani nilikuwa na mchongo wa kuuza karanga na vifaa vya simu ila nikapata matatizo fulani mtaji ukafa nikarudi nyuma.kwa Sasa Sina kazi yoyote ila maisha yanaendelea Kuna ndugu yangu mmoja ananifuga hapa kwake naishi naye kwa hio kuhusu chakula na sehemu ya kulala sio tatizo.nachohakikishaga ni nipate buku jero ya bundle ili jamiiforum isinipite maana naipenda Sana.
jana eti huyu braza ndugu yangu akaamua kunichana live akaniambia nirudi tu nyumbani kijijini kwa maza me nikamjibu siwezi kwenda kijijini huko babati manyara nitakwenda kupotea Zaid akaniambia shauri yako Mimi naangalia familia yangu nisipojiongeza nitapata taabu.kiukweli mimi siwezi kurudi mkoa kule ndo hakuna hela kabisa kuishika 5000 tu yenyewe ni msala bora hata hapa mjini dar kidogo hela ndogo ndogo za kupewa hukosi.sasa hivi hapa nilipo mfukoni Nina 2500 tu buku jero naenda kununua vocha ya tigo nijiunge Cha week buku kesho nitaenda kubet.nataka kujua Kama Kuna mwana jf mwingine mwenye Hali ya kimaisha Kama ya kwangu.
you will be james delicious soon
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] umri wako tafadhali, kama ni under 18 usijali bado chance unayo lakini kama ni over 25yrs na bado huna direction ya Maisha inakubidi ujitafakari zaidi na kuchukua maamuzi sahihi ya kuweza kujitegemea wewe kama wewe
 
Haupo peke yako mimi mwenyewe sina kazi,sijasoma,sasa nagharimiwa kila kitu na G wangu nakula ,nalala, naku...bureee na sitaki kazi [emoji6][emoji6][emoji6]
 
Halafu nyie watu wa babati munapenda sana kulelewa.

Mwenzio juzi tu hapa alileta Uzi anasema anakaa kwa Dada. Shemeji anamshika matako dada yake, mara anakunywa mchuzi wa pweza na mihogo mibichi hivyo anaomba ushauri.

Badilikeni wanaume wa mikoani hatupo hivyo
Mkuu mi natoka Babati lakini napambana mwenyew mjini...iyo kauli ungeielekeza kwa wanaolelewa tu...unatudhalilisha sisi marijali kutueka kundi moja na hao wanaosponsiwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom