Mwenzenu Mimi ni kula kulala

Mwenzenu Mimi ni kula kulala

Halafu huyu mtoa mada si ndio anajifanya anamsifu sana Jiwe? Nenda Magogoni sasa ukapewe ajira usitupigie zumari huku!!!
Magu anabakia kuwa jembe mpaka wakati usio na kipimo
 
Asiefanya kazi na asile wewe unapata wapi nguvu ya kula chakula cha mwanaume mwenzio mkuu
 
Write your reply...dogo unao ujasiri? unao uthubutu nipende kukwambia kwamba bongo Hakuna kazi jaribu abroad kuna meli inaenda Sydney itapitia South Africa Kwanzaa ninaweza kuku smuggle ukafika huko cha msingi nitakuhifadhi kwenye box vizuri nitakuweka kwenye cargo ya mizigo ya vitu vinavyoenda huko cha msingi uvumilivu tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom