Mwenzenu Mimi ni kula kulala

Mwenzenu Mimi ni kula kulala

Wakuu kiukweli Mimi Sina hela na ndo maana hata demu sina mwenzenu.zamani nilikuwa na mchongo wa kuuza karanga na vifaa vya simu ila nikapata matatizo fulani mtaji ukafa nikarudi nyuma.kwa Sasa Sina kazi yoyote ila maisha yanaendelea Kuna ndugu yangu mmoja ananifuga hapa kwake naishi naye kwa hio kuhusu chakula na sehemu ya kulala sio tatizo.nachohakikishaga ni nipate buku jero ya bundle ili jamiiforum isinipite maana naipenda Sana.
jana eti huyu braza ndugu yangu akaamua kunichana live akaniambia nirudi tu nyumbani kijijini kwa maza me nikamjibu siwezi kwenda kijijini huko babati manyara nitakwenda kupotea Zaid akaniambia shauri yako Mimi naangalia familia yangu nisipojiongeza nitapata taabu.kiukweli mimi siwezi kurudi mkoa kule ndo hakuna hela kabisa kuishika 5000 tu yenyewe ni msala bora hata hapa mjini dar kidogo hela ndogo ndogo za kupewa hukosi.sasa hivi hapa nilipo mfukoni Nina 2500 tu buku jero naenda kununua vocha ya tigo nijiunge Cha week buku kesho nitaenda kubet.nataka kujua Kama Kuna mwana jf mwingine mwenye Hali ya kimaisha Kama ya kwangu.
Hahahahaha maisha mazuri dogo endelea kubeti, kijijini njaa tu
 
Fanya kazi yoyote hata kumsaidia mama ntilie kupekeka chakula . Usitegemee jasho la ndugu yako kuna siku atakutema jumla
 
Kwa hayo maisha Jiandae kutajwa kwenye list ya dudubaya [emoji23][emoji23]
 
Halafu nyie watu wa babati munapenda sana kulelewa.

Mwenzio juzi tu hapa alileta Uzi anasema anakaa kwa Dada. Shemeji anamshika matako dada yake, mara anakunywa mchuzi wa pweza na mihogo mibichi hivyo anaomba ushauri.

Badilikeni wanaume wa mikoani hatupo hivyo

Hahah!!. Umenikumbusha ule uzi
 
Nyege zikikujaa utapata akili ya kutafuta hela ila kama umeshajiunga chaputa utaendelea kukenua hapo kwa kakaako maisha yako yote
 
Sasa mbn wewe ndo umeitikia [emoji23][emoji23][emoji23]...though mimi co muiraqw

[emoji23][emoji23][emoji23] huwa sijui sayuu na saitaah ipi inaanza mkuu, napenda sana sikia hii jamii ikiongea lugha yako kama wapalestina vile [emoji23][emoji23]
 
Wakuu kiukweli Mimi Sina hela na ndo maana hata demu sina mwenzenu.zamani nilikuwa na mchongo wa kuuza karanga na vifaa vya simu ila nikapata matatizo fulani mtaji ukafa nikarudi nyuma.kwa Sasa Sina kazi yoyote ila maisha yanaendelea Kuna ndugu yangu mmoja ananifuga hapa kwake naishi naye kwa hio kuhusu chakula na sehemu ya kulala sio tatizo.nachohakikishaga ni nipate buku jero ya bundle ili jamiiforum isinipite maana naipenda Sana.
jana eti huyu braza ndugu yangu akaamua kunichana live akaniambia nirudi tu nyumbani kijijini kwa maza me nikamjibu siwezi kwenda kijijini huko babati manyara nitakwenda kupotea Zaid akaniambia shauri yako Mimi naangalia familia yangu nisipojiongeza nitapata taabu.kiukweli mimi siwezi kurudi mkoa kule ndo hakuna hela kabisa kuishika 5000 tu yenyewe ni msala bora hata hapa mjini dar kidogo hela ndogo ndogo za kupewa hukosi.sasa hivi hapa nilipo mfukoni Nina 2500 tu buku jero naenda kununua vocha ya tigo nijiunge Cha week buku kesho nitaenda kubet.nataka kujua Kama Kuna mwana jf mwingine mwenye Hali ya kimaisha Kama ya kwangu.
Hahaha, nadhani tayari umekua mwanaume wa Dar
 
Halafu huyu mtoa mada si ndio anajifanya anamsifu sana Jiwe? Nenda Magogoni sasa ukapewe ajira usitupigie zumari huku!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom