- Thread starter
- #121
Wala usimuangushe na usije kushangaa kama ataamua kukupa promotion kubwa tu.
YouTube - Taarab: Sabah al kheir--
Wala sihitaji promotion yoyote, mapenzi anayonipa yanatosha sana, nikipata na mtoto basi kila kitu kimetimia sihitaji zaidi. Ila akipenda yeye iwe hivyo wala sitajivunga, mapenzi kufurahishana.