Dreamliner
JF-Expert Member
- Jan 17, 2010
- 2,034
- 215
Makubwa.
we acha usiombe Mungu da sophy akupate namba ya mama matesha hapo ujue anaweza kurudi kwao kwa miguu! walah huyu dada alinitesa kwa maneno mpaka nikabadili line na alivyo within a week akaijua mpya niliamua kumtolea uvivu nikampa ile line dada mmoja mhindi na mswahili walipeana maneno mpaka nae akaamua kubadiliKumbe na wewe yalishakukumba? Pole sana. Sasa unasubiri nini kulipiza kisasi? Soma katikati ya mistari hapo!
:focus:
Dah! haya bana. Kugogoteza siyo? Ngoja nimgogoteze home boy wangu kimey aje akazie mada kwenye hii sredi.duh leo ASprin naona darasa wataka kulifungua mapema!
shadidia ina maana moja na kusisitiza, kukazia, kugogoteza
Ila hii thanks ya First Lady iko wazi sana kuwa ujumbe wako nimeupata
hommie ona inavyo gogoteza hapa chini......Dah! haya bana. Kugogoteza siyo? Ngoja nimgogoteze home boy wangu kimey aje akazie mada kwenye hii sredi.
Kagulia hapa hapa zawadi yako!!!
The Following User Says Thank You to Gaijin For This Useful Post:
Asprin (Today)
duh leo ASprin naona darasa wataka kulifungua mapema!
shadidia ina maana moja na kusisitiza, kukazia, kugogoteza
Ila hii thanks ya First Lady iko wazi sana kuwa ujumbe wako nimeupata
huh jamani nyie .............wasojua lugha ya taifa wako wengi kumbe! mmmh
kaizer unanita wasemaje kaka?
Jamani nawashukuru wote mlionipa maneno ya kunipa moyo. Na hao wenye maneno mabaya waelewe kuwa Mungu ndiye mpaji na kanijaalia alivyonijaalia kwa upendo wake, na kwa qudrat zake Mola nitakipata ninachosubiria inshaallah.
Kama mwenzangu umejitakia ugumba mwenyewe ili upate nafasi ya kuhudhuria hizo semina na conference, uchoyo tu ati sijui unaogopa kuzeeka, mbona bado waonekana kikongwe sana tu licha ya kujibania uzazi? Kumbe ndio kisomo hicho? Wewe umeona watoto 2 wanatosha lakini yeye kaona wanae wanahitaji mdogo wao. Wewe ni nani hadi umzuie? Na zaidi ya hapo mimi pia nahitaji mtoto wangu na huwezi kunizuia wala kunipangia habari ndiyo hiyo kama mwenyewe anaogopa kukujuza ndo nakujuza sasa.
huh jamani nyie .............wasojua lugha ya taifa wako wengi kumbe! mmmh
kaizer unanita wasemaje kaka?
Aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhhhhhh Da Soooooooooooooooooooooooophy!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
mwenzenu mi mgeni mahali hapa panaitwaje vile?