Mwenzenu hii mimba.......!

Mwenzenu hii mimba.......!

ana nini basiiiiiii

kama kajazia kwanini adandie mume wa mwenzie, si angeshakuwa na wake tangu zamani

hamna kitu majisifu yasiyo na kichwa wala miguu

Kwani kujazia ndo kuolewa, we nawe mbona mtoto sana kichwani?
 
We muongo tena unafanya makusudi kuboa watu hapa! Nijuavyo mie, mapenzi yeyote yakinoga, mtu unakua na furaha hata huwezi poteza mda kujibizana na watu! Anyway, kula raha maisha mafupi haya, ila kimya kimya bado nasisitiza.
 
hahahahaha KIBAMIA je kimekua ghafla?hela ya wine haitokaa iishe,pesa tunayoooooo,tumesoma hadi Permanent Head Damage tukatunukiwa,wewe form four for four years fighting for food,utaisoma
Mmhhhh!!!
Watu mnatoka mbali aisee!
 
Back
Top Bottom