Mwenzenu hii mimba.......!

Mwenzenu hii mimba.......!

siyo wote wenye roho za korosho, wengine wanao utu

Thank you Da Sophy. I really appreciate this comment from you. God bless you. Ni rahisi mno kwa sisi binadamu mara nyingi katika matukio kama haya kumlaumu mwanamke na wengine wanaukulamu si kusema kwamba wao ni malaika hapa duniani. Miye nakutakia kila la heri na ujauzito wako na hata siku moja sitakuonyeshea kidole cha kukulaumu maana yaliyojiri mpaka huyu mwanaume aamue kuwa nawe na kuamua apate mtoto nawe mimi siyajui na si ajabu wote mmeshatubu kwa Mungu wenu.

YouTube - Elton John can you feel the love tonight
 
Tumemsema sana huyu Mama! Je huyo mwanamme alieacha Mkewe na kuja kwa Da Sophy mnamwambiaje? Inawezekana kuna kitu fulani anakosa kwa Mkewe ndio maana kaenda kwa huyu Mama. Au ilikuwa 'INFIDELITY' akanogewa.. Tuangalie pande zote..
 
Ongezeni mashairi jamani kabla hatujaanza tena kupata chorus...
 
mie mnajua sijamfahamu huyu dada? mimba inamtakaje baba? halafu vipi mtoto wa mwenzio mwanao? BAK nisaidie kufahamu...
 
Thank you Da Sophy. I really appreciate this comment from you. God bless you. Ni rahisi mno kwa sisi binadamu mara nyingi katika matukio kama haya kumlaumu mwanamke na wengine wanaukulamu si kusema kwamba wao ni malaika hapa duniani. Miye nakutakia kila la heri na ujauzito wako na hata siku moja sitakuonyeshea kidole cha kukulaumu maana yaliyojiri mpaka huyu mwanaume aamue kuwa nawe na kuamua apate mtoto nawe mimi siyajui na si ajabu wote mmeshatubu kwa Mungu wenu.

YouTube - Elton John can you feel the love tonight

DUUH BAK...haya bwana no commente
 
Tumemsema sana huyu Mama! Je huyo mwanamme alieacha Mkewe na kuja kwa Da Sophy mnamwambiaje? Inawezekana kuna kitu fulani anakosa kwa Mkewe ndio maana kaenda kwa huyu Mama. Au ilikuwa 'INFIDELITY' akanogewa.. Tuangalie pande zote..

Pande zipi tena ni tamaa za mwili tu zilimsumbua mpaka akaamua kumfata Da Sophy
 
mnh hivi hii mada bado inaendelea???
lazima kuwe na expiry date za mada!:smile-big::glasses-nerdy:
 
Haya mwee Dada Sophy
 
Last edited by a moderator:
kabla ya hii mimba sawa nilikuwa namhimiza aende, lakini sasa hivi loh! Namhitaji mwenzangu akae hapa kuna damu yake humu ati. Hao wa kule keshakaa nao sana na tena hawana shida kwanza wana mama msomi. Halafu nina hakika yule mwenzangu hanionei huruma kwa lolote, sasa miye nikamwonee huruma kwa kisa gani? Kama kufaidi alishafaidi sana, kama hakufaidi sikumkwaza miye, sasa zamu yangu hii lazima niitumie vilivyo
hahhs kibamia?
 
Jamani nawashukuru wote mlionipa maneno ya kunipa moyo. Na hao wenye maneno mabaya waelewe kuwa Mungu ndiye mpaji na kanijaalia alivyonijaalia kwa upendo wake, na kwa qudrat zake Mola nitakipata ninachosubiria inshaallah.

Kama mwenzangu umejitakia ugumba mwenyewe ili upate nafasi ya kuhudhuria hizo semina na conference, uchoyo tu ati sijui unaogopa kuzeeka, mbona bado waonekana kikongwe sana tu licha ya kujibania uzazi? Kumbe ndio kisomo hicho? Wewe umeona watoto 2 wanatosha lakini yeye kaona wanae wanahitaji mdogo wao. Wewe ni nani hadi umzuie? Na zaidi ya hapo mimi pia nahitaji mtoto wangu na huwezi kunizuia wala kunipangia habari ndiyo hiyo kama mwenyewe anaogopa kukujuza ndo nakujuza sasa.

hilo janaume pumbavu kweli kweli
 
mie mnajua sijamfahamu huyu dada? mimba inamtakaje baba? halafu vipi mtoto wa mwenzio mwanao? BAK nisaidie kufahamu...

Anamimba, anataka kutombana kila saa.., na yeyote tu bora mwanaume! Ila bado miezi minne tu kwahiyo mwenzake amvumilie' umeelewa?
 
atazalishwa sana i see!sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
NA BADO!

Kinachowauma mi kuzalishwa? Kwa taarifa yenu nimezaa kwa uamuzi wangu. Alozalishwa yuko kule mtaa wa kule sa izi ana hangover ya wine alizobugia usiku.
 
Back
Top Bottom