- Thread starter
- #141
hapo nimekusoma
hivi da sophy, sasa inakuwaje jamaa akitaka kwenda kwa mkewe wa makaratasi? (wa ndoa) unampa muda au inakuwaje?
kabla ya hii mimba sawa nilikuwa namhimiza aende, lakini sasa hivi loh! Namhitaji mwenzangu akae hapa kuna damu yake humu ati. Hao wa kule keshakaa nao sana na tena hawana shida kwanza wana mama msomi. Halafu nina hakika yule mwenzangu hanionei huruma kwa lolote, sasa miye nikamwonee huruma kwa kisa gani? Kama kufaidi alishafaidi sana, kama hakufaidi sikumkwaza miye, sasa zamu yangu hii lazima niitumie vilivyo