Mwenzenu hii mimba.......!

Mwenzenu hii mimba.......!

Asprin sikuona change of location hapo kwako! umeingia martenity ward kumsaidia da sophy au?
 
Asprin sikuona change of location hapo kwako! umeingia martenity ward kumsaidia da sophy au?

You Can Say That Again! Nakusubiri na wewe siku utakapojisahau mzee akamhifadhi mtoto tumboni mwako!
 
Nahisi hapa ndio kwenye 'inda' na 'tashititi'..Lol

watu wa JF kiboko kwa kuanalyze mambo!

maana Da Sophie anamfanyia mwenziwe inda kuwa na yeye analeta mtoto mwenye jina la 'mkwe' muahahaha
 
watu wa JF kiboko kwa kuanalyze mambo!

maana Da Sophie anamfanyia mwenziwe inda kuwa na yeye analeta mtoto mwenye jina la 'mkwe' muahahaha

Gaijin, unajua wengine walivo na makusudi kama akizaliwa wa kike anampa jina la mama mkwe, kama wa kiume anampa la baba mkwe sasa apo akili kichwani,,,,,,
 
Huu msredi nilikuwa sijauona hvi kwanza mnajadili nini maana sielewi ati???:eek2:
 
muogope mungu dada angu,wewe!!!!!!!!!!,sisi sio mahakimu ila Mungu pekee ndio atakeyehukumu.
 
Huu msredi nilikuwa sijauona hvi kwanza mnajadili nini maana sielewi ati???:eek2:
Kama ni hivyo mkuu si vema kudandia treni kwa mbele.... rudi page ya kwanza, pale juu kabisa uanze kusoma, ukifika hapa utaelewa mjadala unavyuokwenda... ushauri wa bure tu
 
Yaani ni inamtaka babake kila dakika, hadi sasa nimesema kama noma na iwe noma. Mwenzangu nivumilie tu bado miezi 4 nitashusha inshaallah. Mtoto wa mwenzio ni mwanao.

Hapa Da Sophy sijakuelewa Mama! Hebu nisaidie mwenzio.
 
Yaani ni inamtaka babake kila dakika, hadi sasa nimesema kama noma na iwe noma. Mwenzangu nivumilie tu bado miezi 4 nitashusha inshaallah. Mtoto wa mwenzio ni mwanao.

Duh! Unamaanisha umeamua kukomba mboga kabisa?
 
Da Sophie baba mtoto ni yule mume wa mtu! mmmmh................umeamua umshikilie mume wa watu kabisa kabisa sasa.
Gaijin unauliza samaki baharini? Si waona kamwomba radhi mwenzie amvumilie? Kaazi kweli kweli
 
Hivi mjukuu kwenye mto hakuna samaki? Shkang!
HAa kumbe Babu umekuwa shpirini? sikujua ati
Shkang Babu yangu.

Hahahahha kule kuna dagaa babu samaki ni ziwani au baharini.

Da Sophy............. mlikubaliana na huyo ba mtoto au ndo katika harakati zako za kumchinjia baharini bi mkubwa??
 
Maumivu yakikutembelea tafadhali nitafute.
Nimeiona hii hapa!
When You are in love and You get hurt, it's like a cut... it will heal, but there will always be a scar.
 
Jamani nawashukuru wote mlionipa maneno ya kunipa moyo. Na hao wenye maneno mabaya waelewe kuwa Mungu ndiye mpaji na kanijaalia alivyonijaalia kwa upendo wake, na kwa qudrat zake Mola nitakipata ninachosubiria inshaallah.

Kama mwenzangu umejitakia ugumba mwenyewe ili upate nafasi ya kuhudhuria hizo semina na conference, uchoyo tu ati sijui unaogopa kuzeeka, mbona bado waonekana kikongwe sana tu licha ya kujibania uzazi? Kumbe ndio kisomo hicho? Wewe umeona watoto 2 wanatosha lakini yeye kaona wanae wanahitaji mdogo wao. Wewe ni nani hadi umzuie? Na zaidi ya hapo mimi pia nahitaji mtoto wangu na huwezi kunizuia wala kunipangia habari ndiyo hiyo kama mwenyewe anaogopa kukujuza ndo nakujuza sasa.
 
Back
Top Bottom