Kimey nilishangaa naona FL anamuambia amwambie achukue likizo hasa ..................sasa hii leave of absence aiombe kwa mke wa ndoa akisema kuwa anaenda kukaa kwa kimada au?
kweli dunia hadaa!
Want to ask the same question....Gaijin una undugu na kina Shaban Robert?Dah! We Gaijin wewe! mbona watutesa watoto wa wanawake wenzio! Anyway ngoja niikonsalti TUKI yangu hapa!
Siko peke yangu dada/kaka. Hebu msome huyu mzalendo mwenzangu hapa.......Asprin sikujua kama lugha ya taifa inakupiga chenga kihivyo! lol:tongue:
Tunasubiri jibu lako kwa hamu......Want to ask the same question....Gaijin una undugu na kina Shaban Robert?
kimey ...............lazima lugha ya taifa tuienzi ati...
inda na tashtiti ina maana moja na inadi au kwa kiswahili chepesi inaweza kumaanisha uchokozi ( japo ladha ya maana kidogo hapa imekosa chumvi na ndimu lol)
The Following User Says Thank You to Gaijin For This Useful Post:kimey ...............lazima lugha ya taifa tuienzi ati...
inda na tashtiti ina maana moja na inadi au kwa kiswahili chepesi inaweza kumaanisha uchokozi ( japo ladha ya maana kidogo hapa imekosa chumvi na ndimu lol)
Gaijin we ni Inda na tashtit kwelikweli! nikimaanisha we ni mchokozi
hapo nipo sawa?
heheheh ............Asprin una 'inda' na wewe akka! huna dogo! lol
Kimey..............unatakiwa kusema 'wewe una inda na tashtiti' na sio ' wewe ni inda na tashtiti'
Inda, Tashtiti na Inadi, they all mean the same thing but a bit different in taste. In English them can mean to tease or to provocate.
(Samahanini kwa kwenda offtopic wakuu)
The Following 2 Users Say Thank You to Gaijin For This Useful Post:heheheh ............Asprin una 'inda' na wewe akka! huna dogo! lol
Kimey..............unatakiwa kusema 'wewe una inda na tashtiti' na sio ' wewe ni inda na tashtiti'
Inda, Tashtiti na Inadi, they all mean the same thing but a bit different in taste. In English them can mean to tease or to provocate.
(Samahanini kwa kwenda offtopic wakuu)
hahaha mwambie Baba mtoto aombe unpaid leave ya miezi minne mkae home mateso ya nini tena?
hahahaha hommie ivi pale Zero pub hakuna empty room ili tunze hii kozi ya Tuki? maana mi kwenye Kibluray Simo Tuki Simo hata Mgombani simo ila kwenye (kinoname) najit najitahidi!!:scared:Hahahaha! Hommie kumbe nawe ni inadi namna hiyo? Kwanini unam inda na kumtashtit mwalimu wangu wa lugha ya kina shabani robati?
Hahahahahaha! hommie hapo sijapasoma vizuri. Hata mimi hapo kwenye kinn huwa sichezi mbali. Ngoja nicheki na White ili ile stoo ya makreti tupu ya bia tuhifadhi haya makabrasha ya mwalimu wangu mkuu wa kishabanirobati!!hahahaha hommie ivi pale Zero pub hakuna empty room ili tunze hii kozi ya Tuki? maana mi kwenye Kibluray Simo Tuki Simo hata Mgombani simo ila kwenye (kinoname) najit najitahidi!!:scared:
Mh!! Mama mkubwa hapo naona patakuwa hapatoshi! kama ni mzee wa nyumba kubwa je utakubali? Hiyo miezi minne ahame nyumbani? kisa mtoto wa kambo!!!hahaha mwambie Baba mtoto aombe unpaid leave ya miezi minne mkae home mateso ya nini tena?
... Mtoto wa mwenzio ni mwanao.