Mwenzenu hii mimba.......!

Heee Da Sophy anaexpect hongera mwaya. naomba nipropose jina la mtoto akizaliwa please please please angalau lianzie na herufi gani.

Jina la mtoto lipo tayari, kama wa kike jina la mama mkwe, na kama wa kiume la baba mkwe. Mwenzangu kule kaleta 'usomi' kagoma wanawe wasipewe hayo majina sijui anaogopa nini, kama mchawi yeye mwenyewe na usomi wake, hukohuko alikosomea digrii zake wazungu wanatabiri mechi kwa kutumia pweza anakuja huku na za kuleta mtoto wa kike na kibanapua ati ng'o ng'o ng'o ng'o majina ya mababu hayafai sijui nini, mimi nasema nitamfurahisha baba mtoto laaziz wangu ajisikie mara hii kazaa kweli.
 
Alaa ndo manake hiyo we huoni akimuomba mke mwenzia amvumilie tu mpaka akishusha mzigo! Da ila we da Sophy kiboko! U call a spade as spade not big spoon!

Anivumilie mwenzangu loh! Wajua siku zote kabla ya hii nilikuwa namwonea imani mwenzangu namwambia bwana hebu nenda kwa mkeo lakini sasa hivi hapana uzalendo umenishinda.
 
waoooooooooooooooooooo da sophy huyooooo...
tulikumiss mwanawane...
Asante mwaya, yani wengine mmenipa kampani sana nimesoma hapa hadi nimefurahi. Sijali wanaoponda. Nimetafuta zile nilizoandika mara ya mwanzo humu sijaziona sijui huwa zinafutwa?
 
da sophy we kiboko! hivi huyo mke wa mwanaume wa mtu yupo hapa jf? haya hongera mwaya!
Na tunabanana hapahapa. Yaani nimetamani sana mapacha ili tutoke droo kwanza, lakini haijawa, dokta kaniambia yuko mmoja tu. Lakini nimedhamiria wawili wa fastafasta maana umri hausubiri. Yaani itakuwa kata mti panda mti
 
Kimey nilishangaa naona FL anamuambia amwambie achukue likizo hasa ..................sasa hii leave of absence aiombe kwa mke wa ndoa akisema kuwa anaenda kukaa kwa kimada au?

kweli dunia hadaa!
Huyo 'mke wa ndoa' yuko nyumbani basi? Na hizo semina na kongamano amwachie nani? Yaani bidada ni kiguu na njia semina semina semina, halafu hata havai akapendeza basi huko sijui hizo pesa huwa anapeleka wapi nina uhakika hahongi hata wanaume maana mvuto ziro yani hata yule hausiboi wao na umaskini wake hatakubali hata amhonge milioni. Tulia bidada
 
Na kwa Inda tu na Tashtiti lazima Da Sophie azae jina la baba wa mume ......................halo haloooo

( na hilo jina lazima iwe mke wa ndoa alikataa na kusema limepitwa na wakati) :lol:

Heh! Umejuaje? Ni kweli kabisa! Au mwafahamiana?
 
muogope mungu dada angu,wewe!!!!!!!!!!,sisi sio mahakimu ila Mungu pekee ndio atakeyehukumu.
Mungu huyo ndiye aliyenijaalia na ndiye ninayemwomba azidi kunijaalia mtoto azaliwe salama. Hukumu ni kwa huyo aliyejitia ugumba wa kujitakia kumpangia Mungu kuwa watoto wawili wanatosha.
 
HAa kumbe Babu umekuwa shpirini? sikujua ati
Shkang Babu yangu.

Hahahahha kule kuna dagaa babu samaki ni ziwani au baharini.

Da Sophy............. mlikubaliana na huyo ba mtoto au ndo katika harakati zako za kumchinjia baharini bi mkubwa??

Makubaliano 100% wala usitie shaka
 
Da sophy,una confidence ya hali ya juu.kuwa na mtoto wako ni kitu kizuri. hongera sana. inaonyesha mke mwenzio unamjua vilivyo.
 
Jamani nawashukuru wote mlionipa maneno ya kunipa moyo. Na hao wenye maneno mabaya waelewe kuwa Mungu ndiye mpaji na kanijaalia alivyonijaalia kwa upendo wake, na kwa qudrat zake Mola nitakipata ninachosubiria inshaallah.

Kama mwenzangu umejitakia ugumba mwenyewe ili upate nafasi ya kuhudhuria hizo semina na conference, uchoyo tu ati sijui unaogopa kuzeeka, mbona bado waonekana kikongwe sana tu licha ya kujibania uzazi? Kumbe ndio kisomo hicho? Wewe umeona watoto 2 wanatosha lakini yeye kaona wanae wanahitaji mdogo wao. Wewe ni nani hadi umzuie? Na zaidi ya hapo mimi pia nahitaji mtoto wangu na huwezi kunizuia wala kunipangia habari ndiyo hiyo kama mwenyewe anaogopa kukujuza ndo nakujuza sasa.

Da Sophy kwanza hongera sana kwa ujauzito. Wengine wanahangaika kutumia mamilioni kutafuta mtoto angalau mmoja lakini hawabahatiki. Hayo labda ndiyo majaliwa yako na jamaa anaweza kukupa promotion ukawa mke mdogo au hata mke mkubwa hahahahahah. Kila la heri katika miezi minne iliyobaki. Wanaouvaa utakatifu wakiwa Jamii wala wasikukoseshe usingizi.

YouTube - Rihanna - Rude Boy
 
Jamani nawashukuru wote mlionipa maneno ya kunipa moyo. Na hao wenye maneno mabaya waelewe kuwa Mungu ndiye mpaji na kanijaalia alivyonijaalia kwa upendo wake, na kwa qudrat zake Mola nitakipata ninachosubiria inshaallah.

Kama mwenzangu umejitakia ugumba mwenyewe ili upate nafasi ya kuhudhuria hizo semina na conference, uchoyo tu ati sijui unaogopa kuzeeka, mbona bado waonekana kikongwe sana tu licha ya kujibania uzazi? Kumbe ndio kisomo hicho? Wewe umeona watoto 2 wanatosha lakini yeye kaona wanae wanahitaji mdogo wao. Wewe ni nani hadi umzuie? Na zaidi ya hapo mimi pia nahitaji mtoto wangu na huwezi kunizuia wala kunipangia habari ndiyo hiyo kama mwenyewe anaogopa kukujuza ndo nakujuza sasa.

Kumbe je? Palepale shosty nina msimamo ati

Jina la mtoto lipo tayari, kama wa kike jina la mama mkwe, na kama wa kiume la baba mkwe. Mwenzangu kule kaleta 'usomi' kagoma wanawe wasipewe hayo majina sijui anaogopa nini, kama mchawi yeye mwenyewe na usomi wake, hukohuko alikosomea digrii zake wazungu wanatabiri mechi kwa kutumia pweza anakuja huku na za kuleta mtoto wa kike na kibanapua ati ng'o ng'o ng'o ng'o majina ya mababu hayafai sijui nini, mimi nasema nitamfurahisha baba mtoto laaziz wangu ajisikie mara hii kazaa kweli.

Anivumilie mwenzangu loh! Wajua siku zote kabla ya hii nilikuwa namwonea imani mwenzangu namwambia bwana hebu nenda kwa mkeo lakini sasa hivi hapana uzalendo umenishinda.

Asante mwaya, yani wengine mmenipa kampani sana nimesoma hapa hadi nimefurahi. Sijali wanaoponda. Nimetafuta zile nilizoandika mara ya mwanzo humu sijaziona sijui huwa zinafutwa?

Na tunabanana hapahapa. Yaani nimetamani sana mapacha ili tutoke droo kwanza, lakini haijawa, dokta kaniambia yuko mmoja tu. Lakini nimedhamiria wawili wa fastafasta maana umri hausubiri. Yaani itakuwa kata mti panda mti

Huyo 'mke wa ndoa' yuko nyumbani basi? Na hizo semina na kongamano amwachie nani? Yaani bidada ni kiguu na njia semina semina semina, halafu hata havai akapendeza basi huko sijui hizo pesa huwa anapeleka wapi nina uhakika hahongi hata wanaume maana mvuto ziro yani hata yule hausiboi wao na umaskini wake hatakubali hata amhonge milioni. Tulia bidada

Heh! Umejuaje? Ni kweli kabisa! Au mwafahamiana?

Mungu huyo ndiye aliyenijaalia na ndiye ninayemwomba azidi kunijaalia mtoto azaliwe salama. Hukumu ni kwa huyo aliyejitia ugumba wa kujitakia kumpangia Mungu kuwa watoto wawili wanatosha.

Makubaliano 100% wala usitie shaka

The Following User Says Thank You to Da Sophy For This Useful Post:

FirstLady1 (21st July 2010)​

:violin::violin::violin::ballchain::ballchain::ballchain::focus::focus::focus:
 
jamani huyu da sophy huyu? usiache kutujuza shost nn mwisho wa malumbano haya ya mume wa mtu! sasa mbona huyu mke hajibu kitu basi walau tuone the other side of the story maana hapa twaona upande wako tu!
 
Asprin nakuona una shadidia 'thank you' ya First Lady! hahaahha
 
jamani huyu da sophy huyu? usiache kutujuza shost nn mwisho wa malumbano haya ya mume wa mtu! sasa mbona huyu mke hajibu kitu basi walau tuone the other side of the story maana hapa twaona upande wako tu!

Unataka ajibuje zaidi ya hivi?

The Following User Says Thank You to Da Sophy For This Useful Post:

FirstLady1 (21st July 2010)​
 
Unataka ajibuje zaidi ya hivi?

The Following User Says Thank You to Da Sophy For This Useful Post:
FirstLady1 (21st July 2010)​

nilitaka nae accoment thank you to haitoshi! natamani kumwona huyu da sophy sana maana maneno kama ex da sophy wangu !
 
Jina la mtoto lipo tayari, kama wa kike jina la mama mkwe, na kama wa kiume la baba mkwe. Mwenzangu kule kaleta 'usomi' kagoma wanawe wasipewe hayo majina sijui anaogopa nini, kama mchawi yeye mwenyewe na usomi wake, hukohuko alikosomea digrii zake wazungu wanatabiri mechi kwa kutumia pweza anakuja huku na za kuleta mtoto wa kike na kibanapua ati ng'o ng'o ng'o ng'o majina ya mababu hayafai sijui nini, mimi nasema nitamfurahisha baba mtoto laaziz wangu ajisikie mara hii kazaa kweli.

Hivi Da Sophy unaimba taarabu katika mojawapo ya vikundi vya taaribu? maneno yako kasheshe tupu
 
The Following User Says Thank You to Da Sophy For This Useful Post:

FirstLady1 (21st July 2010)​

:violin::violin::violin::ballchain::ballchain::ballchain::focus::focus::focus:

Hommie naona umeconnect dots then uka soma btn the lines!! ha hahahaa
 
nilitaka nae accoment thank you to haitoshi! natamani kumwona huyu da sophy sana maana maneno kama ex da sophy wangu !
Kumbe na wewe yalishakukumba? Pole sana. Sasa unasubiri nini kulipiza kisasi? Soma katikati ya mistari hapo!
Hommie naona umeconnect dots then uka soma btn the lines!! ha hahahaa
HahahahahaHommie, si umeona liyuzifuli sredi kama hili linakula senksi 1 tu? Unajua hawa kina mama wana mbinu zao za kuambizana kuwa "ujumbe umefika"! Now...:focus:
 
Hommie naona umeconnect dots then uka soma btn the lines!! ha hahahaa

hahahaha na nyie mmezidi ..wajua mie nimesfurahi kuona da Dophy ana mimba lakini kumbe ya mme wa mtu..sikupenda tena kuondoa hiyo

Back
Top Bottom