ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,699
- 9,461
habari za mchana wana cc wote
Awali ya yote napenda kuchukua nafasi hii kuwasabahi nyote mliopo hapa CC
Nimefurahi kujua kuwa mnaendelea vyema katika shughuli, kazi, masomo na
mamabo mengine ya maisha.
Mwenzenu nina maswali juu ya kichwa changu ambayo najiuliza kila iitwapo leo
lakini sijawahi pata majibu ya maswali yangu, na tena kila mara nakuwa na
kigugumizi cha macho pindi niwaonapo wakitoa post, au comment zao hapa CC,
Na wakati mwingine sijawaelewa wanatoka familia, ukoo, kabila moja kwani
wamefanana kama matwins aina ya mfuko mmoja (watu wazima mshaelewa hapa)
na mara nyingi nakomunicate nao bila kuwatambua vyema, imepelekea hata nabaki
kuwashangaa na isitoshe kuwakodolea mimacho bila wao kujitambua.
Naomba niwaulize marafiki zangu eti Ruttashobolwa na ruttashubanyuma ni
ndugu wa ukoo mmoja au ni kabila moja, au ni watu wa bukoba? Pls nisaidie
bandugu maana wamenichanganya sana na naogopa kuwauliza wao.
Hizi nakala itabidi ziwaendee wanaume wa jf cc
copy: Kaizer, Mentor, Kipaji Halisi, Bujibuji, watu8, Erickb52, Mr. rock,
nitonye, figganigga, Mtambuzi, Arushaone, Filipo, stevoh, Donn,
Asprin, Chimbuvu, sokwe, The Boss na wengine niliowasahau naomba
samahani

Last edited by a moderator: