Mwenzenu hawa Wananichanganya

thinking-please-be-patient-thecuriousbrain.com_.jpg
 
Majina haya yanatokea mkoa kagera, mara nyingi wahaya huwaita/batiza watoto wao majina yenye tafsir au ya msimu alipozaliwa mtoto au au kuleta umahalum wa jina na maana. Kwa mfano RUTASHOBOROLWA na RUTASHUBYANYUMA yana maana tofauti ila yenye kuelezea sifa inayobidi awe nayo au wakati mwingine kuimanisha nafasi yake katika familia. Hata hivyo hawa wanaweza kuwa ndg au hata Hawajuni. Mfano,Kamugisha ina maana tofauti na Mugisha, Mutayoba tofauti na Mutayoba,nk.....
 
asante kwa kunielewesha na kunifafanulia zaidi be blessed bestito
Majina haya yanatokea mkoa kagera, mara nyingi wahaya huwaita/batiza watoto wao majina yenye tafsir au ya msimu alipozaliwa mtoto au au kuleta umahalum wa jina na maana. Kwa mfano RUTASHOBOROLWA na RUTASHUBYANYUMA yana maana tofauti ila yenye kuelezea sifa inayobidi awe nayo au wakati mwingine kuimanisha nafasi yake katika familia. Hata hivyo hawa wanaweza kuwa ndg au hata Hawajuni. Mfano,Kamugisha ina maana tofauti na Mugisha, Mutayoba tofauti na Mutayoba,nk.....
 
ameshaniita una mtaka nini shemejio au ndo unataka kula kuku na vifaranga vyake? yatakushinda

dada taratibu ujue kunawatu wanatusikiliza hapa, haya mambo tunatakiwa tuongelee ndani nasi hadharani kama hivi.
Shemeji Mentor na wewe utulie jamani kah!!!!
 
Last edited by a moderator:
Nimeshakusikia best nitaingia room kwa maongezi zaidi nashukuru kwa kumkanya huyu shemejio si unajua watu wanaotoka kaskazini hawatuliii kabisa
dada taratibu ujue kunawatu wanatusikiliza hapa, haya mambo tunatakiwa tuongelee ndani nasi hadharani kama hivi.
Shemeji Mentor na wewe utulie jamani kah!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom