Mwenzenu hawa Wananichanganya


ladyfurahia

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Messages
13,908
Likes
1,409
Points
280
ladyfurahia

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined May 10, 2011
13,908 1,409 280
habari za mchana wana cc wote

Awali ya yote napenda kuchukua nafasi hii kuwasabahi nyote mliopo hapa CC
Nimefurahi kujua kuwa mnaendelea vyema katika shughuli, kazi, masomo na
mamabo mengine ya maisha.

Mwenzenu nina maswali juu ya kichwa changu ambayo najiuliza kila iitwapo leo
lakini sijawahi pata majibu ya maswali yangu, na tena kila mara nakuwa na
kigugumizi cha macho pindi niwaonapo wakitoa post, au comment zao hapa CC,

Na wakati mwingine sijawaelewa wanatoka familia, ukoo, kabila moja kwani
wamefanana kama matwins aina ya mfuko mmoja (watu wazima mshaelewa hapa)
na mara nyingi nakomunicate nao bila kuwatambua vyema, imepelekea hata nabaki
kuwashangaa na isitoshe kuwakodolea mimacho bila wao kujitambua.

Naomba niwaulize marafiki zangu eti Ruttashobolwa na ruttashubanyuma ni
ndugu wa ukoo mmoja au ni kabila moja, au ni watu wa bukoba? Pls nisaidie
bandugu maana wamenichanganya sana na naogopa kuwauliza wao.

Hizi nakala itabidi ziwaendee wanaume wa jf cc

copy: Kaizer, Mentor, Kipaji Halisi, Bujibuji, watu8, Erickb52, Mr. rock,
nitonye, figganigga, Mtambuzi, Arushaone, Filipo, stevoh, Donn,
Asprin, Chimbuvu, sokwe, The Boss na wengine niliowasahau naomba
samahani
 
Last edited by a moderator:
Chimbuvu

Chimbuvu

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2012
Messages
4,400
Likes
71
Points
145
Chimbuvu

Chimbuvu

JF-Expert Member
Joined Jul 17, 2012
4,400 71 145
Apataye mke apata kitu chema, naye ajipatia kibali kwa Bwana... (Mit 19:22).
Unywe maji ya birika lako mwenyewe, na maji yenye kububujika katika kisima chako...(Mit 5:15)
 
Mentor

Mentor

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2008
Messages
20,059
Likes
11,137
Points
280
Mentor

Mentor

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2008
20,059 11,137 280
Huyu mke wangu huyu....
 
Mr Rocky

Mr Rocky

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2007
Messages
15,198
Likes
600
Points
280
Mr Rocky

Mr Rocky

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2007
15,198 600 280
Mhhh swali gumu hapo na ukifanya kubuni hapa unaweza ukala ban kwa name calling ladyfurahia endelea kuwaza hayo hayo wala usije ukajiuliza. Lawyer Ruttashobolwa na ndugu yangu mwanamashairi Rutashubanyuma mko wapi kuna mtu anawaulizia humu
 
Last edited by a moderator:
ladyfurahia

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Messages
13,908
Likes
1,409
Points
280
ladyfurahia

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined May 10, 2011
13,908 1,409 280
Nitajitahidi kufupisha bestito usikonde ondoa shaka shukrani kwa mawazo yako
hata mi huwa najiuliza kuhusu hilo. Unaandika sana jamani jitahidi kufupisha.
 
ladyfurahia

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Messages
13,908
Likes
1,409
Points
280
ladyfurahia

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined May 10, 2011
13,908 1,409 280
Last edited by a moderator:
ladyfurahia

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Messages
13,908
Likes
1,409
Points
280
ladyfurahia

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined May 10, 2011
13,908 1,409 280
sasa ndugu yangu ndo umenijibuje mbona sikuelewi au nawe tukufanyie maombi naona akili zinaanza kuyoyoma
Apataye mke apata kitu chema, naye ajipatia kibali kwa Bwana... (Mit 19:22).
Unywe maji ya birika lako mwenyewe, na maji yenye kububujika katika kisima chako...(Mit 5:15)
 
ladyfurahia

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Messages
13,908
Likes
1,409
Points
280
ladyfurahia

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined May 10, 2011
13,908 1,409 280
Last edited by a moderator:

Forum statistics

Threads 1,274,992
Members 490,865
Posts 30,529,819