Arushaone
Platinum Member
- Mar 31, 2012
- 15,237
- 13,567
weeeee hawawazidi chelsea wale ni wababe na wachezaji wazuri sana hakuna mfano hapa duniani hata hao spain hawaoni ndani wewe ngoja wawapange nao utabrooo brother
Unasemaje? Spain 10 Tahiti 0 mchezo ndio umeisha!