Mwenzenu hawa Wananichanganya

Mwenzenu hawa Wananichanganya

Hamuwezi kuamini jamani Spain wanajua kucheza mpira mpaka Brazil wanawaofa uraia wakacheze kwao. Ni mabingwa wa ukweli wa soccer.

Ahsante sana conductor kwa kumpa ufafanuzi ladyfurahia.

Nasepa....!
 
Last edited by a moderator:
weeeee hawawazidi chelsea wale ni wababe na wachezaji wazuiri sana hakuna mfano wao hapa duniani hata hao spain hawaoni ndani wewe ngoja wawapange nao utabrooo brother
Hamuwezi kuamini jamani Spain wanajua kucheza mpira mpaka Brazil wanawaofa uraia wakacheze kwao. Ni mabingwa wa ukweli wa soccer.

Ahsante sana conductor kwa kumpa ufafanuzi ladyfurahia.

Nasepa....!
 
habari za mchana wana cc wote

Awali ya yote napenda kuchukua nafasi hii kuwasabahi nyote mliopo hapa CC


Nimefurahi kujua kuwa mnaendelea vyema katika shughuli, kazi, masomo na
mamabo mengine ya maisha.


.......... Kaizer umemuuliza babu Asprin ile govindar kumar imeongezewa ushuru kiasi gani kwenye bajeti hii?!?!?
manake nahitaji sana..............
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom