Ndio usilale sasaDuuh...nitaua mtu.
Anastori huyo kama baharia...
Akianza haziishi.
Khaa...
Halafu ndiyo yeye ama?
Eehh nauliza ili twende sawa.
Bila shaka nimekufananisha.
Una uhakika hauna mwenza anayelala kabla yako kila siku?
Unatafuta lakini?
Kweliii,,,Hahaha...haujatia chumvi kweli?