Mwenza kilaza.

Mwenza kilaza.

Baada ya kufikia ‘Unc’ status, nimejikuta tu napunguza mahudhurio ya hili jukwaa.

Hivyo msishangae sana kuniona humu leo. Mara moja moja si mbaya kujivinjari na kuwasabahi.

Twende kwenye mada….

Ni hivi, mimi nadhani ni mtu mmoja mvumilivu sana, hususan ikija kwenye mapungufu ya kiubinadamu.

Ila hata wavumilivu nao huwa wana kikomo chao.

Hivyo, nauliza……je, umeshawahi kuwa au unaye mwenza ambaye ni kilaza?

Yaani huyo mwenza wako unaona umemzidi akili lakini basi tu huna jinsi ya kumwambia.

Sasa, sidhani kama kuna kipimo sahihi cha ukilaza. Kama kipo basi mimi sikijui.

Kwa hiyo mtu unaposema flani ni kilaza unakuwa unatumia kipimo kupitia mtazamo wako.

Hiyo ni hatua ambayo inaweza kutoa matokeo yasiyo sahihi.

Mimi kuna mdada mmoja hivi ilibidi tu nimpotezee na kumfungia kioo mazima.

Si tu alikuwa ni kilaza, bali pia alikuwa naive [sikijui Kiswahili chake] sana.

Sikumbuki kabisa yeye kuwa na mtazamo wowote ule ambao ulikuwa ni sahihi, kwa jambo lolote lile.

Ilikuwa inamchukua muda mrefu sana kuja kuwa na mtazamo sahihi kuhusu jambo lolote lile.

Yaani hata umwelewesheje, alikuwa ni mzito sana kuelewa lakini baada ya muda mrefu ndo anakuja kuelewa.

Ukilaza wa namna hiyo ni mzigo sana na unakera.

Mpaka leo hii sijajutia kumtosa na wala hata simkumbuki kabisa.

Nyie mnaonaje, nilikosea kumtosa?

Na nyie mshawahi kuwa na wenza vilaza?
Nyani Ngabu mpaka umeamua kuyaleta hapa seems she was dumb AF 😅😅, alafu ukute ni mrembo balaa.
 
Kamwe usiudharau nguvu za watu wapumbavu wakiwa wengi yaani kundi kubwa la wajinga, hili linaweza hata kumchagua rais mjinga mwenzao akakuongoza wewe mwenye akili na kukuletea madhara mengi.

Mtu mpumbavu ni yule anayeleta madhara kwa mtu mwingine, au kundi la watu, bila faida yoyote kwake (au hata akajitengenezea madhara mwenyewe).

Tambua kwamba:
Mtu mpumbavu ndiye mtu hatari zaidi aliyeko duniani.

Mtu mpumbavu ni hatari zaidi kuliko mhalifu.

Mhalifu:
Mtu ambaye vitendo vyake vinajiletea faida binafsi huku akileta madhara kwa wengine.

Watu wasio wapumbavu daima hujidhihirisha kwa kupuuza nguvu inayoweza kutolewa na watu wapumbavu. Wanashindwa kukumbuka kuwa kwa kila wakati, na katika hali yoyote, kujihusisha na watu wapumbavu ni kosa ghali.
Nimekuelewa sana kwa post yako hii , mpumbavu hafai
 
Mtoe katika hali ya ukilaza na kuwa mwerefu.
 
Back
Top Bottom